Ukiweza kutofautisha haya basi umekomaa, njia kwako ni nyeupe

Ukiweza kutofautisha haya basi umekomaa, njia kwako ni nyeupe

Raha vs Utamu ?

Raha ni hali ya kujihisi vizuri
Utamu inaweza kuwa ladha nzuri, hisia zitokanazo na misuli au mishipa kutekenywa kwa namna ya kumfanya mtu ajisikie vizuri.

Hata hivyo kwenye utamu kuna Raha,
Vzr sana, nisaidie hapa Elimu vs Ufahamu, Roho vs Moyo,,,,

Elimu ni ujuzi, maarifa, apewayo mtu kuchochea akili yake
Ufahamu ni uwezo kukumbuka kile ulichokiona, kisikia, kuonja, kunusa n.k

Roho/Pumzi ni nishati inayomwezesha kiumbe kuwa hai.
Moyo ni sehemu ya kuhifadhi na kusukuma mambo yote yanayohusu mihemko/hisia
 
Back
Top Bottom