Tigo ni mtandao wa simu
tigo ni neno la kijiweni lenye maana ya ziada ikihusisha zaidi upande wa jinsia ya kike, kwa wanaume maana hiyo hubadilika na kupewa jina jingine
Raha ni hali ya kujihisi vizuri
Utamu inaweza kuwa ladha nzuri, hisia zitokanazo na misuli au mishipa kutekenywa kwa namna ya kumfanya mtu ajisikie vizuri.