Ukiwinda Mwanamke muda mrefu mara nyingi huishia kuwa Disappointed

Ukiwinda Mwanamke muda mrefu mara nyingi huishia kuwa Disappointed

Sasa wewe kama siyo uroho na ujuha kwa nini ufuatilie miezi sita yote??? Kwani wengine unakuwa huwaoni??? Una muda sana wa kupoteza wewe!!

Sasa kama anakuzungusha, si ndo unapata hamu zaidi ya kujua kuna nini huko?
 
mmmmnh......
naanza kuamini kuwa wale wanaume wasiogonga gonga hovyo ndio wanaodumu na ndoa zao sababu hakuna wa kucompare naye,hii ya kutembea na mwajuma kesho asha ndio inapelekea kufanya comparison.....eti ukikuta sicho ulichokitarajia.....mbunye ni mbunye ndugu!

Hapo kwenye red si kweli, walaji tunajua zinatofautiana kisifa.
 
Yeye ameongelea wanaume kwahiyo siwezi kumbadilishia lengo lake!!Ukweli ni kwamba huwezi ukamfuatilia mtu miezi kadhaa kwa lengo la kujaribu kujenga mahusiano nae alafu mapungufu ya kitandani ndo yakakukimbiza wakati yanafundishika.
<br />
<br />
 
Kuna mapungufu mengine ambayo siyo ya kufundishika,mfano umemkuta mwanamke ana dimbwi na harufu kunako mali inakuwaje,mi bora nikimbie tu
 
sasa mnataka uombe leo upewe leo

Sisi wanaume sijui tukoje, sijui haturidhiki
Ukitongoza na kupewa ndani ya muda mfupi - mdada anaitwa kicheche
Ukizungushwa - anaringa ringa kumbe hamna kitu
ukitoshwa - binti anajidai matawi

sasa hawa mabinti watufanyie nini ili turidhike.
i think we should stop talking these non sense about our soulmates.
 
nanii zina utamu tofauti ,mwana mke aki jiachia mno anadecline sasa pozi za nini mzungushe mtu maxmam mwezi au ,ulinde mda wake kwa kupa za uso in a week tu ,atakuheshimu
 
Sisi wanaume sijui tukoje, sijui haturidhiki
Ukitongoza na kupewa ndani ya muda mfupi - mdada anaitwa kicheche
Ukizungushwa - anaringa ringa kumbe hamna kitu
ukitoshwa - binti anajidai matawi

sasa hawa mabinti watufanyie nini ili turidhike.
i think we should stop talking these non sense about our soulmates.
ahahahahaa zat z jus teqnk bro i got yaaah
 
Mimi PRINCIPLE YANGU , huwa nareduce risk kwa kumultiply effort ,akinikataa simfati kwao .namweka folder ya pending afu najidai gentleman kwa kukubali majibu afu najifanya bstfriend. so i neva loose totally
 
subher waungwana ! hapa nlipohamia ninakumbana na mtihani kwanza mkali , mwenye nyumba nilijuana naye kupitia broza angu ndu nkapata hili geto ,sasa ishu mimi nalikizo kama mwez na mgeni mitaa hii hivo nashnda home sanaa ,asee mama house jamani ana mugongo ajabu afu anashinda na kanga 1 na hakomi kujipitisha ,mara ajifanye anafua basi ndo mikao ya ajabu , natamani kumchana naona noma ,ili na uzalendo unanishinda si muda i wish nihame mazee !
 
Kwa hiyo na wewe umeamua kumzungusha? unaficha nini mwezi mzima?
 
mmmmnh......
naanza kuamini kuwa wale wanaume wasiogonga gonga hovyo ndio wanaodumu na ndoa zao sababu hakuna wa kucompare naye,hii ya kutembea na mwajuma kesho asha ndio inapelekea kufanya comparison.....eti ukikuta sicho ulichokitarajia.....mbunye ni mbunye ndugu!

ha ha haaa...kweli wewe kiboko ila hapo kwenye nyekundu sijakubaliana na wewe tofauti zipo kubwa na nyingi sana kale kamsemo ka nyama ni ile ile ni kujipa moyo na imani tu...narudia tena tofauti ipoooooo...
 
sasa mnataka uombe leo upewe leo

kwani hata nikipewa kesho si nimepewa tu!?? kuna haja gani ya kuzungusha na kupoteza muda!!?? inatakiwa hivyo unaomba leo unapewa leo kesho unaendelea na ratiba zingine!!
 
Kama hujaoa na unayemwomba hutaki kumwoa usimg'ang'anie na kumfuata unamuomba yeye tu kila siku maana atakuumiza kisaikolojia. Kimsingi hii ni kama business, mteja huyu akigoma ukikaa naye muda mrefu atakupotezea muda na nguvu zako pia. Jaribu kufikiri kama ingetokea mmachinga akikung'ang'ania siku nzima wewe akuuzie suruali hata ikija kutokea umenunua kwani unanunua nguo zake zote?, utanunua suruali ama shati moja basi, atakuwa amepoteza muda mrefu kwa faida ndogo kupita kiasi. Kwahiyo ukimwomba mara mbili tatu hataki songa mbele uokoe muda wako na nguvu kidogo ulizonazo, vinginevyo una muda na nguvu za kuchezea. Unaomba miezi sita kitu ya kutumia nusu saa au lisaa? Unaomba miezi sita wakati ukipewa unayepoteza nguvu ni wewe? Unaomba miezi sita wakati hujui unachokiomba kikoje? Wakati wote huo wa miezi sita unapoomba umasikini unaongezeka maana unatumia hela kuomba na hufanyi kazi vizuri maana akili imeshikwa, ukija kupewa ndio unatakiwa ugharamie zaidi??????? Huo ni upunguani... nikupe mbinu rahisi. 1 - Oa, 2 - omba muda mfupi, hujapewa songa mbele atayekupa huenda hata akaipa akili yako nguvu ya kufikiri kwa haraka zaidi.

Haya mambo ya kuibiana AVATAR haya, dah!!! Badilisha bwana unanikera....
 
Back
Top Bottom