Ukizaa watoto kuanzia watano lazima atatokea mmoja pasua kichwa

Ukizaa watoto kuanzia watano lazima atatokea mmoja pasua kichwa

Ni hatari sana .
Ila hata Mimi nahisi ukishakuwa last born unalaamiwa kwa vitu vingi na Mungu kabla ya kufika duniani .

Mimi nahisi ulast born ndiyo unakwamisha mipango yangu mimgi na harakati zangu
Sio laana ni swala la kisaikolojia,ujue makabila mengi last born wa kiume ndio mrithi wa mji wa baba,so unajikuta tayari ni tajiri ukiwa mdogo,unasubiri mzee afe ukabidhiwe nyumba ya urithi,mzee mwenyewe nae akigoma kufa lazima uvurugwe
 
Shida mzee keshakufa ila sasa Mali zake Kama za majini zinanipelekesha kiasi nahisi zinanicontrol sio kuwa nazicontroll
 
Hata mmoja kama Mimi ni Shida Tupu
FB_IMG_17272901627409592.jpg
 
Back
Top Bottom