...lizime soo chap chap, 'jidai' kumgeuzia na shavu la pili 'azibue, kisha unajizimua kwa kumwambia; "aaahh nawe huachi wivu wako weye, mwanamke yule ndio wa kunirusha roho mimi?, kakuzidi nini!?"
Japo kwa wanaume ndivyo tulivyoumbwa hata iweje lazima ukikutana na kitu kikali utaangalia tu.. "This is naturally" sasa kukwepa adhabu za mamsup inabidi kwanza ujijue kuwa kama mwanaume umeubwa kuangalia vizuri, Jenga mazingira ambayo yatamfanya mamsup kuzoea na ukazikwepa adhabu zake kimtindo, cha kwanza make sure unamscan mrembo faster yaani mpaka mnakutana nae ushamaliza shughuli nzima ya scaning huna haja ya kugeuza shingo...kingine msifie huyo mrembo kimtindo pasipo kuonyesha kwamba unamfagilia zaidi japo kimoyomoyo unajua nini unafanya..mfano unaweza kumsifia ukisema aisee wife hebu cheki nyele za huyu dada zimempendeza sana, nadhani hata wewe zinaweza kukupendeza kushinda yeye ..(hii itakupa fulsa kubwa sana ya kumuangalia tena mtakuwa mnamuangalia wote wawili).. ukigundua mamsup hapendi kusifia wanawake wengine ingeuze tu hiyo formula na kumkosoa mrimbwende wako ...mfano, huyo dada hajui hata kumechisha nguo kabisaaa..(ilimradi tu wewe ufanikishe zoezi zima bila tabu kwa mamsup) ....na maisha yataendelea kama kawaida tu..
Ab-Titchaz i agree with you.Wanaume humu ndani mbona mwanishangaza jamani!!!!
Katika hii enzi ya equal rights and such verbiage....mimi ukinizaba kibao
wewe kaa tayari kwa mapokezi....mengine ya kusameheana ni baadae.
Instincts will make me hit back maana sijazoea kuezekwa vibao toka siku
za Shule Za Vidudu.Biashara gani hii kina mama watuchape vibao naswi
tunauchuna tu eti kutizama kama mtu anayekujua yuko karibu????...eesssshhh!
A'fu pia siku hizi kuna hawa "wapana" ambao wanawapiga waume zao
ndani ya nyumba and its very hurting.There are men out there going
through a lot of domestic abuse na wako silent.Kisha leo kwenye Mall
unazabwa kibao kadamnasi kwa kosa la kutizama God's creation....Eeehh
usisubutu mwanamama kunipiga kibao...KWETU HATUPIGWI HATA IWEJE!!!
Let it be that way unless otherwise......Inategemea na mtu mwanaume kuzabwa kibao na demu ni issue kwetu!
Ingawa inategemea na source ya kibao I mean kosa lipi limeletea kibao.
It could mean to let u come back to your senses au likawa kama kofi la mpenzi tuu ambalo halitakiwi likuume.
..Kweli aisee tuliwahi kukorofishana na mamsap pale kwenye duka leather land kisa kuna mdada alikuwa anajaribu kiatu akaniuliza eti kaka hiki kiatu kimenikaa vizuri ile ku-comment tu kuwa kimekupendeza sana na hiyo miguu yako ya chupa ya bia shughuli yote ya shopping iliishia hapo na tukarudi home hakuna kusemeshana kwenye gari.....Ilinishangaza sana!:angry:Wanawake hawajiamini siku zote,
Na mimi nitamsubiri amwangalie mwanaume yoyote then namzaba kibao cha nguvu zaidiUnatembea na mamsap kwenye Mall au mtaani na katika pitapita mnapishana na kigori ambaye ni 'fwine' kweli kweli. Umejaribu kujizuia kugeuza shingo lakini kutokana na udhaifu wako unageuza kufuatilia kama paka aliyemuona panya kwenye kingo ya jicho lake.. Unajaribu kurudisha kichwa mbele na unakutana na mamsap ambaye amefura na kabla hujasema lolote anakuzaba ZAAP!!! unaona nyota halafu anakuambia;
"kama unamtaka umfuate!" halafu huyo anaanza kuendelea....
what do you do next... ?
NB: Sijachapwa kibao namzungumzia jamaa yangu mmoja hivi (wink wink)