Ukizabwa kibao hadharani...

Ukizabwa kibao hadharani...

...lizime soo chap chap, 'jidai' kumgeuzia na shavu la pili 'azibue, kisha unajizimua kwa kumwambia; "aaahh nawe huachi wivu wako weye, mwanamke yule ndio wa kunirusha roho mimi?, kakuzidi nini!?"

na kummaliza kabisa unajifanya kushangaa wanaume wawili watatu!
 
Wanaume humu ndani mbona mwanishangaza jamani!!!!

Katika hii enzi ya equal rights and such verbiage....mimi ukinizaba kibao
wewe kaa tayari kwa mapokezi....mengine ya kusameheana ni baadae.
Instincts will make me hit back maana sijazoea kuezekwa vibao toka siku
za Shule Za Vidudu.Biashara gani hii kina mama watuchape vibao naswi
tunauchuna tu eti kutizama kama mtu anayekujua yuko karibu????...eesssshhh!

A'fu pia siku hizi kuna hawa "wapana" ambao wanawapiga waume zao
ndani ya nyumba and its very hurting.There are men out there going
through a lot of domestic abuse na wako silent.Kisha leo kwenye Mall
unazabwa kibao kadamnasi kwa kosa la kutizama God's creation....Eeehh
usisubutu mwanamama kunipiga kibao...KWETU HATUPIGWI HATA IWEJE!!!
 
Inategemea na mtu mwanaume kuzabwa kibao na demu ni issue kwetu!
Ingawa inategemea na source ya kibao I mean kosa lipi limeletea kibao.
It could mean to let u come back to your senses au likawa kama kofi la mpenzi tuu ambalo halitakiwi likuume.
 
Bowbow,
Asante kwa video. Naam, nakubali kibao saa zingine muhimu.
Duh!!!!
 
REALITY_SLAP_L.jpg
 
Rafiki yangu mmoja alikuwa mpenda wanawake wenye makalio makubwa so kila akikutana nao lazima ageuke kuburudisha macho yake, alichofanya alimfundisha dem wake kuwaangalia watu hao mpaka dem akazoea, so jamaa akisafiri kama dem wake kakutana na mrembo mwenye bonge la **** alikuwa akimpigia jamaa yake simu lazima amuhadithie.
Mpaka leo huwa na admire teknik msela alizotumia kumuambukiza dem wake.
Japo jamaa ni kiwembe kwa hao wadada waliojaliwa na dem wake hajui
 
Take it easy, stay put, ikifika jioni kachape mayi weeee tena kwenye strip club. Rudi home saa nane alfajiri.... huku ukijiimbisha imbisha zile nyimbo za ulikokuwa. Well si ilisemwa "dawa ya moto ni moto"
 
Japo kwa wanaume ndivyo tulivyoumbwa hata iweje lazima ukikutana na kitu kikali utaangalia tu.. "This is naturally" sasa kukwepa adhabu za mamsup inabidi kwanza ujijue kuwa kama mwanaume umeubwa kuangalia vizuri, Jenga mazingira ambayo yatamfanya mamsup kuzoea na ukazikwepa adhabu zake kimtindo, cha kwanza make sure unamscan mrembo faster yaani mpaka mnakutana nae ushamaliza shughuli nzima ya scaning huna haja ya kugeuza shingo...kingine msifie huyo mrembo kimtindo pasipo kuonyesha kwamba unamfagilia zaidi japo kimoyomoyo unajua nini unafanya..mfano unaweza kumsifia ukisema aisee wife hebu cheki nyele za huyu dada zimempendeza sana, nadhani hata wewe zinaweza kukupendeza kushinda yeye ..(hii itakupa fulsa kubwa sana ya kumuangalia tena mtakuwa mnamuangalia wote wawili).. ukigundua mamsup hapendi kusifia wanawake wengine ingeuze tu hiyo formula na kumkosoa mrimbwende wako ...mfano, huyo dada hajui hata kumechisha nguo kabisaaa..(ilimradi tu wewe ufanikishe zoezi zima bila tabu kwa mamsup) ....na maisha yataendelea kama kawaida tu..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...ha ha, Easymutant, ahsante kwa darasa! ...LOL!
hii ya negativity comments hata wanawake wengi huitumia sana.
Utasikia, "mnh kaka fulani simpendi, ananiudhiii...!" Kumbe kesham save kwenye mobile yake!

Anyway, new lesson learnt maaazee.
 
Mwanakijiji mimi ningemwambia "huyu dada amependeza sana na nilikuwa naangalia mavazi yake ili nikakununulie na wewe mke wangu upendeze pia"
 
nimeipenda hiyo!!!!!!!! inaitwa tit for tat yaani nipe nikupe!!! safi sana, ingekuwa mimi ndio yamenikuta ningesema "Asante la azizi"
 
Wanaume humu ndani mbona mwanishangaza jamani!!!!

Katika hii enzi ya equal rights and such verbiage....mimi ukinizaba kibao
wewe kaa tayari kwa mapokezi....mengine ya kusameheana ni baadae.
Instincts will make me hit back maana sijazoea kuezekwa vibao toka siku
za Shule Za Vidudu.Biashara gani hii kina mama watuchape vibao naswi
tunauchuna tu eti kutizama kama mtu anayekujua yuko karibu????...eesssshhh!

A'fu pia siku hizi kuna hawa "wapana" ambao wanawapiga waume zao
ndani ya nyumba and its very hurting.There are men out there going
through a lot of domestic abuse na wako silent.Kisha leo kwenye Mall
unazabwa kibao kadamnasi kwa kosa la kutizama God's creation....Eeehh
usisubutu mwanamama kunipiga kibao...KWETU HATUPIGWI HATA IWEJE!!!
Ab-Titchaz i agree with you.
 
Inategemea na mtu mwanaume kuzabwa kibao na demu ni issue kwetu!
Ingawa inategemea na source ya kibao I mean kosa lipi limeletea kibao.
It could mean to let u come back to your senses au likawa kama kofi la mpenzi tuu ambalo halitakiwi likuume.
Let it be that way unless otherwise......
 
Wanawake hawajiamini siku zote,
..Kweli aisee tuliwahi kukorofishana na mamsap pale kwenye duka leather land kisa kuna mdada alikuwa anajaribu kiatu akaniuliza eti kaka hiki kiatu kimenikaa vizuri ile ku-comment tu kuwa kimekupendeza sana na hiyo miguu yako ya chupa ya bia shughuli yote ya shopping iliishia hapo na tukarudi home hakuna kusemeshana kwenye gari.....Ilinishangaza sana!:angry:
 
mh! naona jamaa hakugeuza shingo tu kuangalia bali ALIMKODOLEA MACHO - hadi akasahau kuwa ameongozana na "my wife" wake - ilibidi AZABWE KIBAO ila safari iendelee.

Of course sio tabia nzuri kumzaba umpendaye kibao hadharani - hapo inaonyesha
1) jamaa anadharauliwa sana na mamsap wake
2) mamsap huyo hamuheshimu na anamwona kama mtoto mdogo ..vile
3) inawezekana jamaa anakuwa controlled na mamspa - kwa kila sehemu - yuko kama zezeta vile?????

JAMAA ANATAKIWA AAMKE USINGIZINI - AU SIO NEXT TIME .... ATAFANYIKIWA KITU MBAYA ZAIDI MBELE YA WATU.
 
Honestly speaking na mimi ningekupa ZAAAAAAAAP....!!!

If u aint satisfied wid ur gal y r u holding onto her and if u r satisfied y look around??

Ningekupa ZAAAPPPPPPPPP hiyo ungenikumbuka 4 de rest of ur lyf!!! TRUST ME
 
Unatembea na mamsap kwenye Mall au mtaani na katika pitapita mnapishana na kigori ambaye ni 'fwine' kweli kweli. Umejaribu kujizuia kugeuza shingo lakini kutokana na udhaifu wako unageuza kufuatilia kama paka aliyemuona panya kwenye kingo ya jicho lake.. Unajaribu kurudisha kichwa mbele na unakutana na mamsap ambaye amefura na kabla hujasema lolote anakuzaba ZAAP!!! unaona nyota halafu anakuambia;

"kama unamtaka umfuate!" halafu huyo anaanza kuendelea....

what do you do next... ?

NB: Sijachapwa kibao namzungumzia jamaa yangu mmoja hivi (wink wink)
Na mimi nitamsubiri amwangalie mwanaume yoyote then namzaba kibao cha nguvu zaidi
 
Back
Top Bottom