Ukizabwa kibao hadharani...

Ukizabwa kibao hadharani...

..Kweli aisee tuliwahi kukorofishana na mamsap pale kwenye duka leather land kisa kuna mdada alikuwa anajaribu kiatu akaniuliza eti kaka hiki kiatu kimenikaa vizuri ile ku-comment tu kuwa kimekupendeza sana na hiyo miguu yako ya chupa ya bia shughuli yote ya shopping iliishia hapo na tukarudi home hakuna kusemeshana kwenye gari.....Ilinishangaza sana!:angry:
Ahaa ahaa Sajenti mamsapu lazima atakuwa alikuwa na hasira ile mbaya kwenye gari kama vile ni mabubu lol wanawake!!
 
Mwanakijiji hapo ningekuwa mimi, namshitua kwanza mamamsap kiaina, nakumwambia " Hebu cheki huyu mtu, nikumbushe tukifika home nikueleze kitu" huku nikiangalia kiaina. Tukifika home basi namueleza, "unakumbuka yule mwanamke alivyovaa, basi mimi sipendi "

Kama hukufanya hivyo, na ukapigwa basi inabidi uwe mpole subiri ufike home, mwambie mi nilitaka nikueleze kuwa usivae kama huyo mamaaaa!! lakini usijali najua ulinitafsri vbaya.
 
I just drop my hands in my pockets, napiga mluzi wa wimbo niupendao then bar.

Nimeipenda sana hii. Je kama ndo safari yenu ilikuwa inaanza. Je bar mtaenda wote au? Kama ukienda nae bar halafu ukute na yule uliyekuwana unamgeukia yuko bar hiyo hiyo, huoni kwamba ndo utachaniwa vifungo vya shati kabisa, halafu utaendaje nyumbani? Ukiwa umeshikilia shati kwa mbele au?
 
Mwanakijiji hapo ningekuwa mimi, namshitua kwanza mamamsap kiaina, nakumwambia " Hebu cheki huyu mtu, nikumbushe tukifika home nikueleze kitu" huku nikiangalia kiaina. Tukifika home basi namueleza, "unakumbuka yule mwanamke alivyovaa, basi mimi sipendi "

Kama hukufanya hivyo, na ukapigwa basi inabidi uwe mpole subiri ufike home, mwambie mi nilitaka nikueleze kuwa usivae kama huyo mamaaaa!! lakini usijali najua ulinitafsri vbaya.

Utetezi wako hautajitosheleza endapo huyo bibie mlie pishana nae atakuwa amevaa mavazi mazuri na ya heshima. Je bado utamwambie mkeo kwamba ulitaka umwambie hasivae vile?
 
Hii ndio kila mara twaambia vijana siku hizi!, mwa- aibisha Uuume. Sisi zamani, Bwana Uko mbele miguu kumi, hata ukigeuka nyuma afikiri wamwangalia yeye! . Acheni hiii tabia ya kidhungu kutembea pamoja pamoja mara mwashikana hadharani!!!!!
 
Back
Top Bottom