Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Niwape hii.

Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯

Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯

Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯

Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
 
Niwape hii.

Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. [emoji736][emoji817]

Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka[emoji736][emoji817]

Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN[emoji736][emoji817]

Source: TRUST ME BRO / NINA WATU [emoji16]
Mbona haujatoa credit au wewe ndiye Samwel Rashid?
IMG_20250209_161921.jpg
 
Feisal anasimamiwa na jasmine na jasmine hawezi kufanya huo upuuzi amemuondoa mayele akamuondoa feisal sasa hivi anahangaika na mzize atabaki Ibrahim baka.
 
Feisal anasimamiwa na jasmine na jasmine hawezi kufanya huo upuuzi amemuondoa mayele akamuondoa feisal sasa hivi anahangaika na mzize atabaki Ibrahim baka.
Kwani Jasmine ndiye anayecheza uwanjani?
 
Ndiye anayeamua mchezaji amuuze wapi na ndio kamuondoa mayele.
Hajamuondoa Mayele bali Mayele mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka. Jasmine hana uwezo wa kumpangia mchezaji acheze wapi bali mchezaji mwenyewe ndiye anayeamua acheze timu ipi. Huyo Jasmine atabakia tu kama msimamizi
 
Back
Top Bottom