Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

Timu la waganga waganga tu mpaka mashabiki wapiga ramli,
WACHA KUUMIA KWA TETESI TU JE IKITOKEA KWELI ITAKUWAJE!!!#6 HATOCHEZA TIMU YOYOTE BONGO HII ZAIDI YANGA NA KULE ALIPO KWA SASA
 
Hajamuondoa Mayele bali Mayele mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka. Jasmine hana uwezo wa kumpangia mchezaji acheze wapi bali mchezaji mwenyewe ndiye anayeamua acheze timu ipi. Huyo Jasmine atabakia tu kama msimamizi
Uko nyuma ya wakati sana.
 
Niwape hii.

Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯

Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯

Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯

Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
Vipi na hapo mbuga ya serengeti broo wenye watu.
 
Hajamuondoa Mayele bali Mayele mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka. Jasmine hana uwezo wa kumpangia mchezaji acheze wapi bali mchezaji mwenyewe ndiye anayeamua acheze timu ipi. Huyo Jasmine atabakia tu kama msimamizi
Hujui unachokizungumza tutakesha hapa endeleeni kumsubiria feisal mkuu msimu unakaribia kuisha tutamuona jangwani.
 
Back
Top Bottom