Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Chama huyo anaenda Namungo?Kiungo konokono kwenda namungo
Wagawa chai mashuhuriSource: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
Mbona haujatoa credit au wewe ndiye Samwel Rashid?Niwape hii.
Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. [emoji736][emoji817]
Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka[emoji736][emoji817]
Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN[emoji736][emoji817]
Source: TRUST ME BRO / NINA WATU [emoji16]
Watu kama hawa ukiwasaidia majibu kwenye mtihani wanakopi Hadi na jina lako😂😂😂Mbona haujatoa credit au wewe ndiye Samwel Rashid?View attachment 3230503
Kaulizwa Azam wana winger kutoka Central Afroca Republic?! Eti yeye kajibu GAmbia😅😅😅Mbona haujatoa credit au wewe ndiye Samwel Rashid?View attachment 3230503
Bangala anarejeaaa??Mbona haujatoa credit au wewe ndiye Samwel Rashid?View attachment 3230503
Kwani Jasmine ndiye anayecheza uwanjani?Feisal anasimamiwa na jasmine na jasmine hawezi kufanya huo upuuzi amemuondoa mayele akamuondoa feisal sasa hivi anahangaika na mzize atabaki Ibrahim baka.
Ndiye anayeamua mchezaji amuuze wapi na ndio kamuondoa mayele.Kwani Jasmine ndiye anayecheza uwanjani?
Naomba msimamoWatajijua...washaishiwa
Hajamuondoa Mayele bali Mayele mwenyewe ndiye aliyeamua kuondoka. Jasmine hana uwezo wa kumpangia mchezaji acheze wapi bali mchezaji mwenyewe ndiye anayeamua acheze timu ipi. Huyo Jasmine atabakia tu kama msimamiziNdiye anayeamua mchezaji amuuze wapi na ndio kamuondoa mayele.