Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
UKIZUBAA UJANANI UTAJIKUTA UZEENI UNALAZIMISHA KUWA KIJANA TENA😔
Ujana ni hatua pendwa zaidi kuliko hatua zote za makuzi ukiachilia hatua ya utoto ambayo nayi ni pendwa.
Ujana ni hatua yenye matukio mengi sana ila pamoja na kashikashi zote ujana ni kiungo muhimu cha uzeeni.
Kashikashi za ujanani zikikuzidi nguvu utajikuta tayari ni mzee bila kujua ujana umekupitaje na hapo ndipo tunawaona wazee ambao wanaishi kama vijana yaani bado hawajaamini kuwa tayari wao ni wazee.
Uzee utakukukumbusha kipi ulitakiwa kufanya ujanani na kama ulifanya mazuri basi uzee utakupongeza kwa kazi nzuri.
Ewe kijana UZEE SI DHARURA.
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Mitandaoni Fikia Ndoto Zako