Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Hapa inazungumziwa pesa ila imefichwa fichwa kwa kupambwa na maneno kama kujali,sijui mapenzi mara busaraWazee ndio kila kitu..wanajua mapenzi wanajua kujali, wana busara sio kama bodaboda
Acheni utapeli wenu fanyeni kazi 😡