Nimezunguka takribani kanda ya ziwa nzima kiukweli kule unaweza kuhisi mgombea wa kiti cha Urais ni mmoja tu, CCM wamejipanga sana nawapa hongera,
Kila sehemu ni mabango ya Magufuli, kwenye nyumba, kwenye miti kwenye vibao vya taa za barabarani, vitambulisho, kofia magauni nk
CHADEMA ni kama vile haipo sijaona kabisa mabango ya Lissu kwa hili ninaweza kusema CHADEMA uchaguzi wa mwaka huu mumefanya tu ili kukamilisha ratiba lakini maandalizi ni 10%
Kwa hali hii msitegemee ushindi wowote ule hata asilimia 20 hamtafikisha.
Poleni sana