Uchaguzi 2020 Ukizunguka hii nchi unaweza kuhisi mgombea Urais ni mmoja tu, CHADEMA mmefeli sana

Mgombea wa ccm hajulikani ndio maana anatandaza picha kila kona ili angalau watu wamjue, Lissu anajulikana kote hana haja ya kuchafua kuta za nyumba wakati anajulikana.
 
Mabango ya nini tena.

Ccm tumepiga kazi miaka 5 tukiongelea mabango tunaisha hadhi ya utendaji wetu katika chama
 
Ni vile tu Rais Magufuli,Watanzania wanamhitaji aende kila jimbo la sivyo tungemuambia Rais Magufuli abaki chamwino
Miaka mitano ya kujibrand haitoshi tu?

Kwanini mnamuogopa Lissu sana?

Ngoma mtaicheza mpende msipende.
 
Wanaweweseka.Hoja na sera zimewaishia imebidi wauze tu sura zawagombea maana hawana chakuongea.
 
Inakuwaje Chadema hawana Mabango kama ccm lakini wakiwa na mkutano, raia zinamiminika kama maji ?
 
Chema chajiuza dada!
Mabango ya Lissu yako moyoni mwa watanzania!

Ukiwa timamu unaanzaje kumpigia kuru mtu anaejiita kichaa!!?
 
Chema chajiuza dada!
Mabango ya Lissu yako moyoni mwa watanzania!

Ukiwa timamu unaanzaje kumpigia kuru mtu anaejiita kichaa!!?
mimi ni babaako mama yako hakukwambia kua alinipanulia?
 
Hapo ndio utaona maajabu mkuu Lissu kila mtu anamfahamu hahitaji mabango kama jamaa yenu aliekaa madarakani miaka mitano huku bado anajinadi kwenye mabango..
Mnawapa CCM nafasi nzuri sana ya kuonyesha kwamba Lissu hana ushawishi......hata likipigwa bao la mkono mtaani itakua shwari tu
 
We hujui kuna utaratibu mpya wa kulipia kodi hayo mabango tena kwa wapinzani sijui ni ya biashara
 
Nchi nzima imepata homa kali ya lissu,haki, uhuru na maendeleo ya watu,ndio mana mkifanya kampeni mnatembea na tamasha la wanamuziki kwa kuepusha aibu kubwa.
Wafuasi wa Lissu mnajidanganya sana
 
Kanda ya ziwa mbali mkuu, hapo kitunda tuu halmashauri ya wilaya ya ilala hawamjui Tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…