Uchaguzi 2020 Ukizunguka hii nchi unaweza kuhisi mgombea Urais ni mmoja tu, CHADEMA mmefeli sana


Upinzani uko rohoni ,, upinzani ni spirit

Upinzani sio kubandika mabango huko hiyo pesa ya mchezo hatuna....kingine tunaogopa chomewa nyumba usiku
 
kwa mapokezi anayopata Tundu Lissu huko vijijini, nimegundua amezama ndani kabisa ya mioyo ya Watanzania hata bila kupigiwa debe wala promo.

Magufuli kachokwa na kuchukiwa na wapiga kura walio wengi hilo lipo wazi.... tegemeo lake kubwa lipo kwa hawa potential candidates 2 wa ICC waitwao Kaijage & Sirro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…