Technian Tanga
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 411
- 200
wakati ukijisifia kubwia bia, kuna wengine hapo wapo hospitali, wengine wamepata ajali, wengine hata kupanua mdomo pombe iingie mdomoni hawawezi wanaumwa, na wengine leo watalewa na hawatafika home kwasababu watapata ajali. ungelijua ungekaa nyumbani na familia yako au ungeenda kanisani ukasali umshukuru Mungu aliyekupa mwaka mpya.Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na Serengeti hii ya Tano sasa mdo mdo mlevi mwenzangu uko wapi?
Safi kiongozi kula vyomboooMkuu niko zangu pile Temeke, kuna kajimziki ka watu wa zima hapa naanzisha picha.
Niko na Serengeti ya tatu hapa,ndio kwanza picha linaanza.
Hizo shidaa zao na mie wapi na wapi , Mungu namshukuru hapa hapa burudanini btw unakunywa nini ww? Waitress come umsikilize huyuwakati ukijisifia kubwia bia, kuna wengine hapo wapo hospitali, wengine wamepata ajali, wengine hata kupanua mdomo pombe iingie mdomoni hawawezi wanaumwa, na wengine leo watalewa na hawatafika home kwasababu watapata ajali. ungelijua ungekaa nyumbani na familia yako au ungeenda kanisani ukasali umshukuru Mungu aliyekupa mwaka mpya.
Hahahhaha aiseeeHizo shidaa zao na mie wapi na wapi , Mungu namshukuru hapa hapa burudanini btw unakunywa nini ww? Waitress come umsikilize huyu
Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na Serengeti hii ya Tano sasa mdo mdo mlevi mwenzangu uko wapi?
Nipo Picnic ila naelekea Club D muda si mrefu.........nipo tot ya 6 teachers............nikifika kule nitabadilisha kinywaji........sijajua nitakunywa nini........
Do not remind me Club D, nmepamiss A town aisee
mkuu natumai hom umepaacha vizuri,isije ikawa unaweka heshima hapo mezani wakati hom pako hovyo,pia natumai kazi inaingiza zaidi ya unachotumia hapo vinginevyo uelewe bata bila kazi ni sawa na kesi bila dhamana na kiongozi asipochakarika jahazi ni lazima lizame.HERI YA MWAKA MPYA.Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na Serengeti hii ya Tano sasa mdo mdo mlevi mwenzangu uko wapi?