Uko bia ya Ngapi na wapi?

Uko bia ya Ngapi na wapi?

Kumamamae walai, Nipo om jiran apa pana mtu, kaanzisha club, basi bia balaa

mkuu kwa sentensi yako hiyo ya kwanza tu uliyoanza nayo kweli nimeamini " umelewa " shikamoo kwako na nawatakia pia usingizi mnono waliokwishauanza moderators. kweli tumedhamiria kuuaga mwaka!
 
Nakunywa geto nikizidiwa nalala tuu...

Karibuni Njiro Arusha..
 

Attachments

  • 1451595071329.jpg
    1451595071329.jpg
    46 KB · Views: 34
Ama nini?
 

Attachments

  • 1451595127900.jpg
    1451595127900.jpg
    46 KB · Views: 32
Back
Top Bottom