Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Hello JF,mambo zenu,,weekend mida ya mchana Jumamosi nilikua Free Sana,and kukaa home nikaona michosho,,nikapata Wazo la kwenda Ledger Plaza kupumzika,swimming..si unajua weekend in Dar es salaam vile inakua,nikatoka na jamaa yangu..kufika Pale shangwe,good people,beautiful girls,kama kawa japo hakukua na watu wengi,,.nikatoka kwenye pool nikawa docho na charge simu yangu...akaja mrembo,..anaomba kuchaji simu yake imezima kabisaa..mtoto kaenda hewa,,rangi ya mtume,nywele hadi mgongoni..lugha yake YES NO..nikamkaribisha,story zikawa nyingi,,akanambia anaitwa Diana,akanipa namba yake..simu yake ilipofika 10% akatoa aka Save namba yangu..tukaachana...kufika home na search namba yake siioni..hahaha nkawa na Hope atanitafuta,,,jumanne now kimya..please Diana kama Upo JF,nipigie mwenzio..remember we have a date....