Uko wapi Diana? It's me St. Patrick

Uko wapi Diana? It's me St. Patrick

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Hello JF,mambo zenu,,weekend mida ya mchana Jumamosi nilikua Free Sana,and kukaa home nikaona michosho,,nikapata Wazo la kwenda Ledger Plaza kupumzika,swimming..si unajua weekend in Dar es salaam vile inakua,nikatoka na jamaa yangu..kufika Pale shangwe,good people,beautiful girls,kama kawa japo hakukua na watu wengi,,.nikatoka kwenye pool nikawa docho na charge simu yangu...akaja mrembo,..anaomba kuchaji simu yake imezima kabisaa..mtoto kaenda hewa,,rangi ya mtume,nywele hadi mgongoni..lugha yake YES NO..nikamkaribisha,story zikawa nyingi,,akanambia anaitwa Diana,akanipa namba yake..simu yake ilipofika 10% akatoa aka Save namba yangu..tukaachana...kufika home na search namba yake siioni..hahaha nkawa na Hope atanitafuta,,,jumanne now kimya..please Diana kama Upo JF,nipigie mwenzio..remember we have a date....
 
ha ha haa windo limeingia mitini.... pole we! Ni sawa na mvuvi baaada ya kumtoa samaki kwenye chambo samaki akaruka na kurudi majini.....
 
Hello JF,mambo zenu,,weekend mida ya mchana Jumamosi nilikua Free Sana,and kukaa home nikaona michosho,,nikapata Wazo la kwenda Ledger Plaza kupumzika,swimming..si unajua weekend in Dar es salaam vile inakua,nikatoka na jamaa yangu..kufika Pale shangwe,good people,beautiful girls,kama kawa japo hakukua na watu wengi,,.nikatoka kwenye pool nikawa docho na charge simu yangu...akaja mrembo,..anaomba kuchaji simu yake imezima kabisaa..mtoto kaenda hewa,,rangi ya mtume,nywele hadi mgongoni..lugha yake YES NO..nikamkaribisha,story zikawa nyingi,,akanambia anaitwa Diana,akanipa namba yake..simu yake ilipofika 10% akatoa aka Save namba yangu..tukaachana...kufika home na search namba yake siioni..hahaha nkawa na Hope atanitafuta,,,jumanne now kimya..please Diana kama Upo JF,nipigie mwenzio..remember we have a date....
mkuu tuliza kipago atakutafuta tu. Mie ilinitokea demu nilimpa namba yangu akagoma kunipa yake akasema atanitafuta ulipita mwaka ndio akanitafuta mpk leo namega nikimhitaji
 
Okay, here is a tip bro;

Next time ukiwa unabadilishana namba na dame, akutajie yake then call her aione yako!

Hapo utaisave na hata ikipotea utaikuta kwenye call log.

Don't repeat that mistake, ilishawahi kunicost. Otherwise, akikutafuta it's a plus for ya!
 
I never do the same mistake homie
 
Iliilikuaje kaka
Amina mtoto wa kipemba mzuri balaaa nilikutana nae mwaka 2005 pale Tazara nikamuongelesha nikamuomba no akanipa ila cm wakati nataka kuandika ikaisha chaji nikampa no yangu akaisevu frsh ya voda aisee nikarudi geto nikisubiri anipige hee yani siku wiki mwezi mpaka leo akunipigia cm dah nimeoa now nawatoto wa 4.
 
Back
Top Bottom