Vya bure vinagharama jamaniππ, ko unga? Sabuni? Nakupasi kupoπ€ͺ, hiv kama amejitoa kunigharamia starehe ya nyama choma na kamilinda pembeni, kweli atashindwa kasabuniπ, jokes tu jmn. Ila kanipa sharti gumu la kwenda na baby mama wangu na sina cjui nikodi tu sehemu but after leo tubaki kama awaliππ
.......ππππAsante mkuu kwan siwez kuja alone mana mm bado sijafanya maaamz sahihi ya kuwa nae et
Malikia atakuwa aliweka na kauchawi ili tusiwe tunaielewa vzrπ€£π€£π€£, haiwezekani ukiwa unaongea kimoyo moyo kinanyoka vzr ila ukisema ngoja niongee wengne wasikie, mama weeeeeee kinapotea chote kiingilishiππKwishney...ππ
Hiv viumbe n pasua kichwa sanaaaa, yan kinile mapene mm hata ww rafk yngu upigwe nyama choma za bure kweliπππ.......ππππ
Ni wazi ππππAahahahahahahhaaa
Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...π
Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% π
Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....πππ
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hiiAahahahahahahhaaa
Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...[emoji28]
Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% [emoji23]
Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....[emoji1][emoji1][emoji1]
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hii
Nilikua hyper kinoma hata sijui kwangu nimefikaje ...! Wkend inaendelea Tule chombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kmlmmmyke π
Pole aisee mi nilipo si joto Wala si bardi ...you can imagine ninavo enjoy ..!Duuh polee...
Mie nimekuja kujiloweka bahari beach huku hili joto sijui ndo lina sambaza βrona....!!!!?
[emoji3][emoji3][emoji3]... totallyUjana maji ya moto meeen...!
Picnic ya ngaramton au karbu na Shiva ..kalorenthe picnic arusha hapa...karibuni wadau au aliepo hapa anicheki nimetupia tshirt y gold imeandikwa YOUR MOM WAS HERE
Pole aisee mi nilipo si joto Wala si bardi ...you can imagine ninavo enjoy ..!
Sent using Jamii Forums mobile app