Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Uko wapi na hii lock down bubu....!?

Vya bure vinagharama jamani😆😆, ko unga? Sabuni? Nakupasi kupo🤪, hiv kama amejitoa kunigharamia starehe ya nyama choma na kamilinda pembeni, kweli atashindwa kasabuni😁, jokes tu jmn. Ila kanipa sharti gumu la kwenda na baby mama wangu na sina cjui nikodi tu sehemu but after leo tubaki kama awali😁😁

Ndo ujiongezeee...!
 
Kwishney...😆😆
Malikia atakuwa aliweka na kauchawi ili tusiwe tunaielewa vzr🤣🤣🤣, haiwezekani ukiwa unaongea kimoyo moyo kinanyoka vzr ila ukisema ngoja niongee wengne wasikie, mama weeeeeee kinapotea chote kiingilishi😆😆
 
Aahahahahahahhaaa

Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...😅

Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% 😂

Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....😄😄😄
Ni wazi 😂😂😂😆
 
Aahahahahahahhaaa

Hii asubuhi nimepitia comment zangu zote nilizoandika jana nimezirekebisha...[emoji28]

Maneno yalikuwa yanajitype tuu, santaiza ilikiwa 98% [emoji23]

Nilikuwa hyper sanaaa, kumbe ulinistukia eeehhhh....[emoji1][emoji1][emoji1]
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hii
Nilikua hyper kinoma hata sijui kwangu nimefikaje ...! Wkend inaendelea Tule chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe niliyokunywa Jana yani kila thread nilikua naacha comment ..hii pombe hii
Nilikua hyper kinoma hata sijui kwangu nimefikaje ...! Wkend inaendelea Tule chombo

Sent using Jamii Forums mobile app


Duuh polee...

Mie nimekuja kujiloweka bahari beach huku hili joto sijui ndo lina sambaza ‘rona....!!!!?
 
the picnic arusha hapa...karibuni wadau au aliepo hapa anicheki nimetupia tshirt y gold imeandikwa YOUR MOM WAS HERE
 
Nipo Sea Cliff.. pamechangamka sana naona wazungu wamejazana na wala hawana barakoa!!
 
Back
Top Bottom