Uko wapi Rondo?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Uko wapi RRONDO rafiki yangu toka utotoni. Ingawa ulikulia Mwananyamala enzi zile nikitoka Kwamtogole kuja kwenu nilijiona niko usuani. Ubabe wa watoto wa Kwamtogole hukuuzoe lakini niliwaambia wewe blood damu kwakiyo wasifanye harm.

RRONDO sijakuona jukwaani ni nini kimekusibu? Tunaweza kuwasha bettle yetu mimi na Asprin tuje tukutafute huko uliko.

Sky Eclat wa Kwamtogole
 
Jamani huyu mtu kila siku si yumo humu?

Au kuna mtu anaactivate acc yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kushangaa. Nilipoona huu uzi nilistaajabu maanake wakati ananiulizia nimepost humu chit chit, mmu, jukwaa la siasa,biashara na habari mchanganyiko. Ilibidi nikae kimya niangalie nini kinaendelea maanake mimi mwenyewe nilimuulizia mtu aliepigwa ban uzi ukabadili muelekeo na kuwa vita binafsi!
 
Nafikiri lengo lako ni kutaka tu nijue kuwa kwa Asprin sikutoi hata nifanye nini.
 
Dahhhh!! Watu mnaifaidi jamiiforum!!
Wewe sky Eclat kusema huyo Aspirin ndo ushadata yaani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…