MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Nakumiss mnooo miss JfJamani mbiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumiss mnooo miss JfJamani mbiti
Tumechoka kukumiss jamani mweeh. Mmepotea na ndugu yangu kapeaceNakumiss mnooo miss Jf
Unywaji kupita kiasi ni hatari kwa afya yako,
Mekumithiii Mrs pampula.
Amelewa huyoJamani mbiti
Usirudie tena kujificha namna hiyo umenipa tabu sana kukutafuta ujueHahaha hua nacheka Sana nikikuonaga humu. Yaan we hufaiii ..nawamiss jamani!ney Niombeeni!
Mbiti anakunywaga maji tuAmelewa huyo
Mbiti anakunywaga maji tu
Jamani nifikishie salamu zangu kwakeHahaha@kapeace alinijiaga pm MA username nyingine! Akanizengua saaaana later akasema yy ni kapeace..huyu sio Kawaida Kawekwa kinyumba! Nitajua tu
Ulituona na mapensi yetu ya kuwekea hela za mchele afu wengi tuna ndevu tehAsante kunitetea.. Last week nilikua mbeya..bas nikakukumbuka! Nikakaa nA wamama wanaouza mchele nikawa nawasikiliza acent zoo.. Cheka saaaaaana
Usirudie tena kujificha namna hiyo umenipa tabu sana kukutafuta ujue
Labda akiwa na stressMbiti anakunywaga maji tu
Ulituona na mapensi yetu ya kuwekea hela za mchele afu wengi tuna ndevu teh
Labda akiwa na stress
Hatuna mchezo kwenye kutafuta pesaHahaha nilipita kabwe ..wamama mashineni wananyanyua magunia ya mpunga! Jaman now Hoi
Ila hazipigi kama wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]Labda akiwa na stress
Hahahahahaha woooooozaaaaaIla hazipigi kama wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Raha ya JF kila mtu kijana,cute/hb,tajiri....Raha ya chitchat bwana, sisi wazee wa "above 50" tunaweza kufanya utani na kufurahia maisha na vijana wa "under 30", raha sana yaani.
Muone kwanzaAsprin mchepuko wake ni Sakayo,je wewe mchepuko wako ni nani?au ndiyo gia ya kumtaka RRONDO??[emoji53][emoji53][emoji53]