Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho.

Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu akafuta. Ikabidi nimuweke kikao cha kishikaji na washkaji. Tukampa risala nzito,kumbe alivyotoka pale wakaenda chocho na yule mke wa mtu wakafanya tendo. Wakati wa tendo jamaa akamchana yule dada kwamba mimi namshauri amuache ila yeye hayuko tayari.

Kesho yake yule dada akatuma sms akaniambia kama naona ndugu yangu anafaidi basi na mimi anitafutie mke wa mtu. Sikumjibu...badae akaandika au nataka mimi ndio namtaka yule ndugu yangu.

Kitendo kile kiliniuma sana,nilidhalilika sana.

Mume wa yule dada alikuwa masomoni alikuwa akija mara moja moja. Ni jamaa niliwahi kufanya naye kazi. Sasa juzi kati nikakutana naye anatamba mke wake amemshauri arudi tena shule akachukue masters kabisa amalize kila kitu

Dadeki jamaa jinga sana. Lakini najiuliza wake za watu wana utamu gani?
 
Ni ngumu sana yeye kuelewa nn unamshauri ni ngumu sana.
Yupo ktk condition ambayo hawezi kuambilika.
Kwa sisi ambao tumeshapitia hayo maisha tunajua.
Lakini wewe muache maana mwana kuli find ndo mwana kuli get.
 
Mwambie mwenye mke
Ko asigine tu kunguni mkuu??? Sema kwa hayo majib aliyopewa ningekuwa ni mimi, ningeweka kila aina ya mitego kumnasisha huyo rafk yngu, yani ningemfungulia ata fake account fb nimwambie yote A-Z theni nimpe mbinu ya kumnasa😆😆 amempa maneno ya shombo sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom