Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Shida inakuja unakuta mke wa mtu alikuwa demu wako, wakati anataka kuolewa kwa bahati mbaya wewe ulikuwa hujajipanga kimaisha labda unasoma nk.
Sasa katika hali kama hiyo unaamua kumruhusu aolewe kiroho safi.
Nakwambia mke wa mtu wa mtindo huo huwa inakuwa ngumu sana kuachana.
Ee Mungu tusaidie.
Sasa katika hali kama hiyo unaamua kumruhusu aolewe kiroho safi.
Nakwambia mke wa mtu wa mtindo huo huwa inakuwa ngumu sana kuachana.
Ee Mungu tusaidie.