Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

Kuchakata mitano tena alafu acha wivu wa kijinga tafuta pesa
Hamuonei wivu ni rafiki yake kasema. Kuna msela mwaka 2013 alikujaga kjiweni uchi kakimbia fumanizi la mke wa mwanajeshi alijua yupo lindo kumbe sio. Bahati yake ilkua ni usiku hakufahamika. hatari sana *****
 
Ewaaaaa Kama Muumbaji wake alimpendelea na kubeba genes zako

Mimi ninani wa kupinga???[emoji23]naulizaaaaa.

Sina shaka, umeshapata vikesi vya kutosha tuuu


Nataman niwe Harmonize wako, nikusindikize vituo vya polisi[emoji23]
Ah wapi, huwezi mfananisha binti yangu na Paula kajala. Sijawahi pata kesi yoyote

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Tuchape Kazi.

Tumechelewa Sana Ndugu Zangu


Ubaya siku zote unarudi kwa ubaya...vipi mume wa huyo Mwanamke katulia!? Tuanzie hapa...Kwa sabbu wanawake wana visasi sana

mabeberu wanatuonea wivu

Siri~kali hii ya wanyonge imekamilisha miradi kwa pesa yetu wala hatujataka mikopo yao.

Tufanye kazi kweli kweli
 
Jaribu kuonja mkuu hautajuta nakuhakikishia! Ila mwenye mali akikuotea .....
 
Wanaume mnakwama wapi??

Kuna mmoja hapa anapigiwa mke wake zaidi ya miaka 6 na hajui.
Yaani kila nikimuona fb natamani nimtonye lkn naona ntaleta balaa kubwa.

Ili ugundue kwamba unachapiwa ni lazima mojawapo kati ya mambo haya yatokee;
1. Mtu aje akuambie
2. Mkeo afanye mistake
3. Uhisi kwamba unachapiwa, uanze kuchunguza.
Kinyume na hapo unaweza usijue kamwe kama kuna kitu kinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…