Uko wapi wa kunitoa Upweke?

Uko wapi wa kunitoa Upweke?

Mm ni miongoni mwa watu ambao siamini kama unaweza pata mume au mke hapia
nakutakia kila la heri
 
yeyote anayetafuta mwenza humu anataka kudanganywa. Wengine hizi tunaona ka bahati. Yaani duh sawa na kuniwekea sahani ya chakula mezani alafu uone kama ntakula au la.
 
yeyote anayetafuta mwenza humu anataka kudanganywa. Wengine hizi tunaona ka bahati. Yaani duh sawa na kuniwekea sahani ya chakula mezani alafu uone kama ntakula au la.

nimekusikia ila kumbuka wadanganyifu sio wote......anaweza akatokea mkweli
 
nimekusikia ila kumbuka wadanganyifu sio wote......anaweza akatokea mkweli

Wewew Utajuaje huyu mkweli na huyu mdanganyifu? Utadanganywa tu humu. Lakini ka wanavyosema You never fail until you stop trying. Ukidanganywa endelea kujaribu..........
 
Wewew Utajuaje huyu mkweli na huyu mdanganyifu? Utadanganywa tu humu. Lakini ka wanavyosema You never fail until you stop trying. Ukidanganywa endelea kujaribu..........

kwa kumuangalia sitaweza kumjua mdanganyifu kama vile yule dada ambavyo hakuweza kukugundua hadi ukamsababishia matatizo na sasa anahangaika na kichanga...OMG!!! Ila kwa kumchunguza nitakuja kubaini kama ni mkweli au laa
 
Hujaweka vigezo unavyotaka vp utakuwa tayari kubadilisha dini.
 
Wasikukatishe tamaa mamii..Mtu amabaye ni mdanganyifu au ambaye hayuko sirias utambaini siku za mwanzoni tuuu... Cha msingi usikurupuke..
 
kigezo kikuu kwa mwenza ni din pekee au kuna vingne?
 
Back
Top Bottom