Ukokotoaji wa bei ya petroli kwa mwezi June baada ya ruzuku ya Sh 100 billion huu hapa: Bei inapaswa kupungua kwa zaidi ya asilimia 60%

Ukokotoaji wa bei ya petroli kwa mwezi June baada ya ruzuku ya Sh 100 billion huu hapa: Bei inapaswa kupungua kwa zaidi ya asilimia 60%

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,119
Reaction score
4,569
(i) 1 barrel = 159 litres
(ii) Tanzania average daily petrol/ diesel consumption per day is 18,000 barrels.
(iii) The CIF price in April 2022 was TZS 2,100/ per litre as we've been told by the minister of energy during this budget national assembly. This is the average cif price of the private business persons supplying our country. It would have been much cheaper if TPDC could have done this job.

(iv) Hence our consumption is:
18,000 barrels × 159 litres × 2,100 shillings = TSh 6.01 billion per day
= TSh 180.3 billion per month.

(v) Now with the TSh 100 billion import subsidy of June:
The balance of the cif price
= 180.3 billion - 100 billion = 80.3 billion shillings = 44.4 % of the April cif price.
Hence the unit cif price will be 2,100 × 44.4% = TSh 932.4 per litre

(vi) Important taxes (tozo) which must continue: TRA, REA, Tanzania, Water projects and JNHPP all amount to 30% of cif price = TSh 279.72 per litre

(vii) Profit of suppliers (aka middlemen aka mawakala): = TSh 160 per litre.
Profit of retailers = TSh 118 per litre

Hence the expected retail price of diesel or petrol of the month of June:
= 932.4 + 160 + 118 + 279.7
= TSh 1,210 per litre which is 37.8% of the May retail price.

Angalizo: Tunawaomba wabunge wetu wasije wakadanganywa na wajanja watakaotaka kutoa punguzo dogo sana ya bei ya petroli na diesel ya mwezi June. Hata wakiweka hiyo kodi ya forodha ya Sh. 255 kwa diesel na 376 kwa petroli, bei haitazidi TSh 1,500 kwa lita baada ya ruzuku ya mama yetu.

Halafu wasisitize kutumia shirika letu la TPDC kama ilivyoamuriwa huko nyuma:

badala ya wafanya biashara binafsi.
 
Hizi makitu ni kama zile makitu wanafanya motivation/Inspiration speakers....

Mtu anamiliki 5 star Hotel akiwa kaanza na mtaji wa punje mbili za mchele....
May you please refute the arguments of this thread creator?
 
Hesabu zipo sawa tatizo je hiyo subsidization ni kwa June pekee?? July tena itawekwa billion 100 nyingine?

Najua mwaka wa fedha ujao watatoa solution ya kudumu ila naona kma hiyo billion 100 inaweza ikawa kwa miezi 2 minimum so hizo hesabu zako uzigawe mara mbili (50 B/ Month) ndio unaweza pata bei yenye uhalisia.
 
Shida ni wafanyabiashara wa bidhaa hiyo waliojaa bungeni hawapiganii masilahi ya wananchi wanapigania maslahi ya wenyenchi
 
Hizi makitu ni kama zile makitu wanafanya motivation/Inspiration speakers....

Mtu anamiliki 5 star Hotel akiwa kaanza na mtaji wa punje mbili za mchele....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe hujui wafanyabishara wakubwa wa mafuta ni akina nani. Team msonga iko madarakani
 
Waweza kunitafsiria kwa kiswahili tafadhali? Mie wakati nasoma Hizi Feza boys na St. Mtakatifu schools zilikuwa hazijaanza.
Komaa hivyo hivyo... 'Ili ni Yai' la "senti Kayumba". Sisi tunataka majibu.
 
Back
Top Bottom