Kweli wapo wengine wanafanya kazi ya kuogesha wazee, wagonjwa na vichaa
Lakini kipato Kipo vizuri
Wabongo wengi wao ni wauza Madawa na wezi tu
Kubali kataa Wakenya wametupita mbali na nchi kama Tanzanian tunatakiwa tukiri hilo na tulifanyie kazi
Kipato kizuri is a relative term. Una maana gani unaposema wanapata kipato kizuri. Kipato kizuri kwa kulinganisha na nani na wapi? Hata kufirw* unaweza kulipwa hela nzuri kwa mtazamo wako, lakini ni hela nzuri kwa kulinganisha na nini. Wakenya huko ughaibuni wanatia aibu jamani. Wao ndio wanaootunza wazee, watoto, na kufanya usafi mahotelini, vyooni, malls, kuchuma matunda mashambani na ukahaba.
Hii ni tofauti na watanzania, kwanza sio wengi huko, pili hao wachache kazi zao ni vinyozi, kuuza dawa za kulevya na utapeli. Hawafanyi kazi za aibu. Na hii ni kutokana na kuwa tanzania wanakotoka wameacha fursa nyingi sana za kilimo, kufuga, kuvua, biashara ndogondogo, nk kwakuwa ardhi kubwa kwa kila mtanzania ipo, tuna bahari kuanzia tanga hadi mtwara, tuna mito mikubwa na maziwa ya kuvua, kusafirisha na kumwagilia, tuna hifadhi za taifa nyingi, tuna madini mengi wachimbaji wadogowadogo wanafaidika. Hivyo sio rahisi kijana wa kitanzania kufanya kazi inayomdhalilisha, ni maskini jeuri kwakuwa nyumbani ameacha fursa nyingi sana na anaweza kurudi wakati wowote ukimzingua.
Lakini wakenya ni tofauti kabisa, wao wanakimbia poverty, propertles, ukabila, unyang'anyi, ukoloni; ukiambiwa hakuna kutoka nje lazima utii vingine unatwangwa risasi ukufe. Bahati mbaya viongozi wanawaambia watu wasitoke nje ili waqualify kupata misaada ya covid kutoka kwa wazungu watie tumboni kwao.
Mkenya yuko irritated all the time, kila kitu kinapatikana kwa kugoma na maandamano, hata huku kukimbia sana kwenye mashindano ya riadha ni kama teke la mwisho ya kupigana na poverty kwao. Hakuna hiari lazima ukimbie ili ujinasue. Tanzania nivtofauti kidogo fursa ziko tele, sio lazima ukimbie saaana ili ule.