Ukoloni wa miamala haukubaliki; wananchi tukiwa na msimamo tunaweza kuupinga kwa nguvu utapeli huu; Kapu la VAT 18% linatosha wagawane huko

Kwa sasa na yenyewe ni tawi tu la ccm kama ilivyo kwa vyama vya wafanyakazi! Kote huko wameweka vibaraka wao. Hivyo haina faida yoyote ile.

Na kama huamini, subiri uone kama watatoa hata tamko tu la kulaani huu uhuni tunao fanyiwa Watanzania.
Duh
 
Hii kodi ya majengo ni tofauti na kodi ya Ardhi ?


Ndiyo @ Vick !

Ni tofauti.

Kodi ya ardhi (land rent) inalipwa Wizara ya ardhi.

Kodi ya majengo(property tax ) inalipwa awali Halmashauri siku hizi TRA kupitia tanesco.
 
Ndiyo @ Vick !

Ni tofauti.

Kodi ya ardhi (land rent) inalipwa Wizara ya ardhi.

Kodi ya majengo(property tax ) inalipwa awali Halmashauri siku hizi TRA kupitia tanesco.
Wajipange
 
Hatuna wana uchumi kubuni vyazo vipya bila kuumiza mwana nchi, kuna haja ya nchi kua na" thinking tank" ili kunusuru hali kama hi watu kama Mwingulu hawawezi kusaidia nchi.
Nchi za wengine wanatumia rasilimali kujenga nchi. Sisi tuna dhahabu, ruby, tanzanite, chuma, makaa ya mawe, samaki, ardhi yenye rutuba, bandari na kila kitu ila wanasiasa wanaona nchi itajengwa kwa kutunyonya.
Kuna nchi zinategemea fukwe na utalii kuendesha uchumi.
Lakini tunafanyaje wakati jamaa anasema ana phd ya uchumi
 
Tatizo katiba mpya
 
Hao TLS ni mafala tu na makoti yao kama makunguru yaliyozunguka mzoga. Wapo hapo kazi kukaa kimya utadhani serikali za wanafunzi kumbe ni majitu yanayotakiwa kuwa active in real life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe binafsi unaweza kuacha kutumia Huduma hizi,Mimi binafsi natumia na makato nayafyrahia sana yanatujengea nchi yetu,ona mabarabara yanavyojengwa kila upande, leo nimenunua umeme wamekata 1000 tu,safi sana.
TUMIENI FEDHA HIZI KWA KUTULETEA MAENDELEO YANAYOONEKANA,NA KWELI TUNAYAONA..
 
Tulia tuliaaa
Vyama vya upinzani vilituchelewesha sana
Dawa mpaka kiama[emoji1787][emoji1787]
 
Sisi wanaccm hatulipi tozo hivyo hatuhusiki na ingekuwa 20% ingependeza zaidi.
 
The problem is majority of those you're telling tend to mind their own business while expecting someone else to act/react on their behalf while continuing to suffer within.
We also see too much talking/complainings without any concrete actions that would reverse things. Hence expect this to be a continuous vicious circle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…