Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hivi Nyerere na akili zake zote, ilikuwaje akatuletea mwenge uwe ndio mungu wa taifa?Ukoma wa nchi hii si kwa sababu ya Dodoma...
Hizo ni dalili za ardhi iliyolaaniwa
Dodoma Pagumu Sana, Yaani Ukoma, Upofu, Shida
Serikali Sijui Imekwama Wapi Kupita Kaya Moja Moja Kutoa Dawa Ya Ukoma, Na Nyingine, Ikumbukwe Dodoma Nao Nzi Wanaeneza Tatizo La Macho Wengi Sana
na hadi sasa una aabudiwa, kazi yake eti kwenda kufungua miradi ya maendeleo, Dah!!!!Hivi Nyerere na akili zake zote, ilikuwaje akatuletea mwenge uwe ndio mungu wa taifa?
Ni wapi ambako hamna Nzi?? Eti baridi na makete wasemaje??Nzi, Vumbi, Upepo, Baridi, Hatari Sana
Makao makuu ya hospitali ya machizi yako Dodoma ndio maana hata watafiti wa afya wanasema nchi yetu kwenye kila watu wanne mmoja zezeta. Kidumu chama cha MazezetaYaani mji mzima umejaa wakoma na upofu, halafu haya ndio makao makuu ya nch...
CCMakao makuu ya hospitali ya machizi yako Dodoma ndio maana hata watafiti wa afya wanasema nchi yetu kwenye kila watu wanne mmoja zezeta. Kidumu chama cha Mazezeta
Hadi makao ya machizi yamepiga kambi hapoHuko ndio ccm imeweka hirizi kabisa, wale watu hauwaambii kitu juu ya ccm
Pumbavu kabisa, ni aibu kujitambulisha kwamba wewe ni mwana ccmna hadi sasa una aabudiwa, kazi yake eti kwenda kufungua miradi ya maendeleo, Dah!!!!
πππ€£π€£π π ππππππππππHuko ndio ccm imeweka hirizi kabisa, wale watu hauwaambii kitu juu ya ccm
Ardhi ya Dodoma inahitaji tibaπππ€£π€£π π ππππππππππ
Waliopo Dodoma Hata Sasa Wanatamani Kurudi Dar Es Salaam
Huu Ndiyo Ukweli Wenyewe Hakuna Ubishi
Malisa njoo uiponye nchiArdhi ya Dodoma inahitaji tiba
Mkoa umejaa mabango ya chama hadi kinyaaHuko ndio ccm imeweka hirizi kabisa, wale watu hauwaambii kitu juu ya ccm
Ardhi ya Dodoma inahitaji tiba