Ukomavu wa Freeman Mbowe unashangaza! Pamoja na kushambuliwa na wengi lakini hajawahi kulipa kisasi

Ukomavu wa Freeman Mbowe unashangaza! Pamoja na kushambuliwa na wengi lakini hajawahi kulipa kisasi

Ngoja tuone ila nadhani ipo shida mahali, Miaka 30
Kama shida yenu ni miaka 30 basi mjikite kwenye hilo tu, msizushe mengine ya uongo si sawa.

Halafu hata hilo la miaka 30 mkiwashawishi wajumbe wa Mkutano Mkuu wamkatae, mkawapa na sababu ni jambo rahisi tu, kuchafuana haikubaliki na kama mnapata kiongozi haramia mnaweza kuchafua amani
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Sisi wanachama wa CHADEMA tumemchoka!! Mfikishie huo ujumbe na aufanyie kazi. Hicho ni chama Cha Umma siyo chake!! Mwambie Ukweli hata kama unamuogopa
 
Nahio ndio binadamu tunavoishi.

Ni changamoto sana
Hoja yetu ni hii, hayo mabaya mnayosema ukweli ni upi? Mazuri hamyakumbuki basi hayo mabaya mnayoyakumbuka na ushahidi wake tuwekeeni hapa ili tusaidiane kumshambulia Mbowe
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tumemchoka!! Mfikishie huo ujumbe na aufanyie kazi. Hicho ni chama Cha Umma siyo chake!! Mwambie Ukweli hata kama unamuogopa
Mwambieni mgombea wenu achukue fomu halafu ingieni kwenye kampeni, Mbona Mwambe aliambulia kura 56?
 
Back
Top Bottom