Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Ushahidi hata wa uongo basiAnajua utumishi wake kwenye Dola yetu!
Huwezi kuwa na msimamo kama hujui unachokitumikia na kukipigania!
Statesman ni statesman tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi hata wa uongo basiAnajua utumishi wake kwenye Dola yetu!
Huwezi kuwa na msimamo kama hujui unachokitumikia na kukipigania!
Statesman ni statesman tu
Joined Friday, quote bila hoja ni ujingaMiaka 30
Kwani analindwa na nini !!?sio dola kutimiza majukumu yake!!?Ushahidi hata wa uongo basi
Hizo porojo zako wape wajinga sanaKwani analindwa na nini !!?sio dola kutimiza majukumu yake!!?
Mwanamaridhiano anaewezesha Tanzania ya kizazi kipya kutawalika vema!
Unafikiri sio yeye anaehodhi fikra za vijana was kizazi kipya!!?
quote moja weka ujinga wako wote, vinginevyo tutaignore hiyo IdMiaka 30, tumchokaaaaaaaa
DIni zote zinakataa uongo!Samia alimdhalilisha sana! Halafu ansema yeye ni muislamu safi na ushungi by 100%
Sina muda wa kupoteza kwenye Uzi wa kijinga kama huu,quote moja weka ujinga wako wote, vinginevyo tutaignore hiyo Id
Nenda kaangalie kaburi la chacha wangwe na mfuate sumaye akuhadithie!Unaweza kutuwekea ushahidi hata wa uzushi?
Matusi ndio gia uliyoingilia JF ili upate "likes", basi endelea ili tuone utafika mpaka wapiSina muda wa kupoteza kwenye Uzi wa kijinga kama huu,
Wewe ni miongoni mwawajinga,
Miaka 30 ni mingi sana kuwa na adabu unapokuja hapa na mada zake hizi za ujinga mwingi
Wenzio walipobanwa hapa kuleta Ushahidi waliacha ID wakakimbia hadi leoNenda kaangalie kaburi la chacha wangwe na mfuate sumaye akuhadithie!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na kuwalea kisiasa na kimaisha, Lakini hakuwahi kuwajibu, Kulipa kisasi wala hata kupambana nao, mara zote amekuwa kama Kaka Mkubwa au kama Mzazi, ambaye anaamini kwamba Mtoto akinyea mkono basi usiukate, chukua maji na sabuni uoshe utatakata tu .
Nikiwa kama Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa kimataifa na Mbobevu wa siasa za Tanzania nimempigia simu Mwamba huyu na kumuuliza kwanini asiitishe Press ili kufafanua Tuhuma na matusi dhidi yake kutoka kona mbalimbali, ambayo inaonekana kama yanamchafua?
Kwanza alinijibu kwa ufupi kwamba NO COMMENT, hapa alilenga kunikatisha niishie hapo na nisiendelee tena kumuuliza chochote kuhusu hilo, lakini nilipombana sana Mwamba huyo alisema kwamba hatojibu hoja ambazo zinahusu, kashfa, Matusi kwake binafsi, na kwa kadri ya kumbukumbu zake matusi na kashfa dhidi yake ni nyingi mno na isingekuwa rahisi kuzijibu na wala hazina tija yoyote, Na kwamba yuko tayari kujibu maswala yote yanayohusu Chadema na mipango yake.
Sasa kwa vile hoja zangu zilihusu Mashambulizi anayoyapata yeye binafsi, na wala haikuwa masuala ya Chadema kama Chama ikabidi niishie hapo .
Swali langu ni hili, Mtu huyu ana Moyo wa aina gani kiasi cha kuvumilia mambo haya?
Pia soma:
Ukomavu utadhihiri kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema mwaka huu akiwaruhusu akina Msigwa nao wagombee kwa uhuru

Hakuna mwaka waliwahi kubanwa, isipokuwa wakishindwa huanza visingizioUkomavu utadhihiri kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema mwaka huu akiwaruhusu akina Msigwa nao wagombee kwa uhuru
Kwanza we ni mzushi mzoefu, pili ana ubavu wa kulipiza kisasi. Labda itokee awe Rais jambo ambalo ni gumu sana
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na kuwalea kisiasa na kimaisha, Lakini hakuwahi kuwajibu, Kulipa kisasi wala hata kupambana nao, mara zote amekuwa kama Kaka Mkubwa au kama Mzazi, ambaye anaamini kwamba Mtoto akinyea mkono basi usiukate, chukua maji na sabuni uoshe utatakata tu .
Nikiwa kama Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa kimataifa na Mbobevu wa siasa za Tanzania nimempigia simu Mwamba huyu na kumuuliza kwanini asiitishe Press ili kufafanua Tuhuma na matusi dhidi yake kutoka kona mbalimbali, ambayo inaonekana kama yanamchafua?
Kwanza alinijibu kwa ufupi kwamba NO COMMENT, hapa alilenga kunikatisha niishie hapo na nisiendelee tena kumuuliza chochote kuhusu hilo, lakini nilipombana sana Mwamba huyo alisema kwamba hatojibu hoja ambazo zinahusu, kashfa, Matusi kwake binafsi, na kwa kadri ya kumbukumbu zake matusi na kashfa dhidi yake ni nyingi mno na isingekuwa rahisi kuzijibu na wala hazina tija yoyote, Na kwamba yuko tayari kujibu maswala yote yanayohusu Chadema na mipango yake.
Sasa kwa vile hoja zangu zilihusu Mashambulizi anayoyapata yeye binafsi, na wala haikuwa masuala ya Chadema kama Chama ikabidi niishie hapo .
Swali langu ni hili, Mtu huyu ana Moyo wa aina gani kiasi cha kuvumilia mambo haya?
Pia soma:
We unajua maana ya kudhalilishaSamia alimdhalilisha sana! Halafu ansema yeye ni muislamu safi na ushungi by 100%
Chacha WangweWangapi amewaua ukiambatanisha na majina yao na ushahidi
Na hajakubali kuachiq ngazi
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa, Kudhalilishwa na kutukanwa hata Matusi ya nguoni, tena wakati mwingine anatukanwa na watu ambao amewakuza na kuwalea kisiasa na kimaisha, Lakini hakuwahi kuwajibu, Kulipa kisasi wala hata kupambana nao, mara zote amekuwa kama Kaka Mkubwa au kama Mzazi, ambaye anaamini kwamba Mtoto akinyea mkono basi usiukate, chukua maji na sabuni uoshe utatakata tu .
Nikiwa kama Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa kimataifa na Mbobevu wa siasa za Tanzania nimempigia simu Mwamba huyu na kumuuliza kwanini asiitishe Press ili kufafanua Tuhuma na matusi dhidi yake kutoka kona mbalimbali, ambayo inaonekana kama yanamchafua?
Kwanza alinijibu kwa ufupi kwamba NO COMMENT, hapa alilenga kunikatisha niishie hapo na nisiendelee tena kumuuliza chochote kuhusu hilo, lakini nilipombana sana Mwamba huyo alisema kwamba hatojibu hoja ambazo zinahusu, kashfa, Matusi kwake binafsi, na kwa kadri ya kumbukumbu zake matusi na kashfa dhidi yake ni nyingi mno na isingekuwa rahisi kuzijibu na wala hazina tija yoyote, Na kwamba yuko tayari kujibu maswala yote yanayohusu Chadema na mipango yake.
Sasa kwa vile hoja zangu zilihusu Mashambulizi anayoyapata yeye binafsi, na wala haikuwa masuala ya Chadema kama Chama ikabidi niishie hapo .
Swali langu ni hili, Mtu huyu ana Moyo wa aina gani kiasi cha kuvumilia mambo haya?
Pia soma:
Unawezaje kukubali kuachia ngazi kwa maelekezo ya ccm?Na hajakubali kuachiq ngazi