Ukomavu wa Freeman Mbowe unashangaza! Pamoja na kushambuliwa na wengi lakini hajawahi kulipa kisasi

quote moja weka ujinga wako wote, vinginevyo tutaignore hiyo Id
Sina muda wa kupoteza kwenye Uzi wa kijinga kama huu,

Wewe ni miongoni mwawajinga,
Miaka 30 ni mingi sana kuwa na adabu unapokuja hapa na mada zake hizi za ujinga mwingi
 
Reactions: Tui
Sina muda wa kupoteza kwenye Uzi wa kijinga kama huu,

Wewe ni miongoni mwawajinga,
Miaka 30 ni mingi sana kuwa na adabu unapokuja hapa na mada zake hizi za ujinga mwingi
Matusi ndio gia uliyoingilia JF ili upate "likes", basi endelea ili tuone utafika mpaka wapi
 
Ukomavu utadhihiri kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema mwaka huu akiwaruhusu akina Msigwa nao wagombee kwa uhuru
 
Ukomavu utadhihiri kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema mwaka huu akiwaruhusu akina Msigwa nao wagombee kwa uhuru
Hakuna mwaka waliwahi kubanwa, isipokuwa wakishindwa huanza visingizio
 
Kwanza we ni mzushi mzoefu, pili ana ubavu wa kulipiza kisasi. Labda itokee awe Rais jambo ambalo ni gumu sana
 
Na hajakubali kuachiq ngazi
 
Pamoja na mashambulizi makali toka kwa Msigwa, Mbowe yupo kimya.

Wengine wanatafsiri kama kiburi cha umiliki wa chama. Kule nchi za watu ukilaumiwa na wanachama wenzako unajiuzulu, mfano former UK PM, Johnson alijuzulu baada ya kulaumiwa kuwa "alikula bata" wakati wa lockdown ya Corona .

Hata huyu wa sasa, Sunak Jana kaomba radhi kweli kweli baada ya kuikimbia D-Day na kwenda kupiga kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…