Mkuu ni wapi huyo Mbowe & company wanazuia watu kudai katiba, ama kulinda bandari? Hebu weka katazo la huyo Mbowe na genge lake kuzuia wananchi. Au ndio mambo ya mbahazi kukosa maua na kusingizia mvua?Nyie mpo upande gani ktkt hili?
Je hili ni la kikundi fulani?
Je ni maslahi ya taifa au watu binafsi?
Kwani mnawachukuliaje wananchi, Hawana vichwa na hawawezi kufikiri ninyi (Mbowe & company)ndio mnafikiri badala yao?
Mkuu hebu chukueni hatua maana hao mnaowasema kwa mafumbo sio wanaowazuia kudai, ama kutekeleza mipango yenu.Leo tu, mkuu? Wapi haikuwapo? Au una maana kumekabwa kila mahali hadi penalty? Huo ndiyo mwendo. Hatuwezi kuwa ndumila kutatu. Koleo tuliite Kwa jina lake. Tutafika tu.
Harakati za Ukombozi wa Kweli ziendelee!!
Mkuu hebu chukueni hatua maana hao mnaowasema kwa mafumbo sio wanaowazuia kudai, ama kutekeleza mipango yenu.
Wanaharakati watatufikisha huko Kwa haraka zaidi kuliko wanasiasa!!Wanaharakati watutufikisha:
a) Kwenye katiba mpya na bandari: Atataka katiba mpya sasa. Biashara ya bandari haipo, sasa na hata milele.
b). Atasimama na wananchi siku zote.
c). Huyu si kigeugeu. Agenda za wananchi kwake ni za kudumu.
d). Akiitisha maandamano atakuwapo mstari wa mbele. Yuko tayari kufa au hata kufungwa badala au kwa niaba ya wananchi wake.
e) Siyo mnafki, ni muwazi na anachosema au ukimwangalia, (usoni) ana maanisha.
f) Ni kipenzi cha watu.
g) Hushawishi kwa nguvu za hoja si kwa hoja za nguvu.
h) Huyu huwa na wafuasi wa dhati, siyo wafuasi wa kulipwa (chawa). Hoja zake zajiuza. Hahitaji kukingiwa kifua.
I) Amedhamiria. Lugha yake, adui huielewa Kwa ukamilifu wake.
Kwa hakika wakituita Tahrir, tutakuwapo:
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Tukutane Tahrir.
Wanaharakati watatufikisha huko Kwa haraka zaidi kuliko wanasiasa!!
Harakati za Ukombozi wa Kweli ziendelee!!
Narudia tena mkuu, hebu tekelezeni mipango yenu, maana unaishia kujichanganya tu. Mara wanaharakati ndio wataleta mabadiliko, na sio wanasiasa. Wakati huo huo unaona hao wanasiasa hawatoi ushirikiano kwa mujibu wa utashi wenu! Goli liko wazi, tekelezeni mipango yenu kama mlivyopanga, kama ni kuzuiwa mtazuiwa na hao ccm, sio wengine.Hatuna mafumbo. Tumesema wazi:
1. Tunaowaunga mkono wanaharakati ni CDM damu labda kuliko hata wewe.
Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni
2. Kwamba ni tofauti ya mawazo, ikiwamo hapa si dhambi.
3. Kwamba tushawishiane kwa hoja? Hakuna jipya Hapo.
Sina hakika kama uliuona Uzi huu:
Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM
4. Tumesema chamani, hatutoki.
Maneno mazito sana. !ππNi jambo la kheri kuwa wanaharakati na wanasiasa hatimaye wametengana na kila mmoja anapambana na hali yake. Kuvunjika kwa koleo sI mwisho wa uhunzi.
Kwani hata nini cha mno kilipatikana tokea miaka 90 hadi leo kwenye muunganiko wa makundi haya? Hadithi zile zile za kuibiwa chaguzi na kutendewa ndivyo sivyo kulikopitiliza.
Japo umoja ni nguvu, bado yawezekana utengano huu ukawa ni mbaraka uliojificha (a blessing in disguise).
Uzi huu wenye kumtambua "kila mdau" kwenye siasa unahusika:
Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Ikumbukwe vyamani kuliko sheheni wanasiasa waliotamalaki, wanaharakati pia wapo. La msingi ni kuwa, kuwa mwanaharakati hakumsimamishi mtu kuwa mwanasiasa. Hii ikizingatiwa kuwa vyama vyenyewe vya upinzani ni vyama vya harakati.
Tangu lini wasioamini kwenye demokrasia wakawa waumini au washirika kwenye kupambania demokrasia?
Vipi mpigania demokrasia kutomwona Mrusi ni mvamizi Ukraine, akakaa kimya asimwunge mkono Ukraine kwa hali na mali au hadharani?
Au vipi mpigania demokrasia kutomwona Israel kuwa ni mvamizi Palestina, akakaa kimya asimwunge mkono Palestina au HAMAS wenye kupambana na mwizi wao?
Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!
Mpigania ukombozi au demokrasia hawezi kuwa mandumila kuwili.
"Vipi kuilaumu TCRA na Serikali kuzuia matumizi ya VPN wakati chamani na hata mitandaoni hamko tayari kukosolewa?"
Hatuwachukii CCM Kwa sababu ya jina lao, rangi wanazotumia au mwonekano wao. Tunawachukia kwa sababu ya vitendo vyao vya kutoheshimu demokrasia.
Kwamba hauheshimu demokrasia popote? Wewe pia hatuwezi kukuthamini. Wewe pia ni kama li CCM jingine tu katika rangi zako na mwonekano wako.
"Kwa hakika kupigana vita na wewe upande mmoja ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu."
Maneno mazito sana. !ππ
Narudia tena mkuu, hebu tekelezeni mipango yenu, maana unaishia kujichanganya tu. Mara wanaharakati ndio wataleta mabadiliko, na sio wanasiasa. Wakati huo huo unaona hao wanasiasa hawatoi ushirikiano kwa mujibu wa utashi wenu! Goli liko wazi, tekelezeni mipango yenu kama mlivyopanga, kama ni kuzuiwa mtazuiwa na hao ccm, sio wengine.
Kwenye hili, amani na mitazamo haina nafasi. Wote wanaoamini katika hili wanapaswa kuwa kitu kimoja. Watarudi kwenye vyama na imani zao baada ya kulifikia lengo.Ni jambo la kheri kuwa wanaharakati na wanasiasa hatimaye wametengana na kila mmoja anapambana na hali yake. Kuvunjika kwa koleo sI mwisho wa uhunzi.
Kwani hata nini cha mno kilipatikana tokea miaka 90 hadi leo kwenye muunganiko wa makundi haya? Hadithi zile zile za kuibiwa chaguzi na kutendewa ndivyo sivyo kulikopitiliza.
Japo umoja ni nguvu, bado yawezekana utengano huu ukawa ni mbaraka uliojificha (a blessing in disguise).
Uzi huu wenye kumtambua "kila mdau" kwenye siasa unahusika:
Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Ikumbukwe vyamani kuliko sheheni wanasiasa waliotamalaki, wanaharakati pia wapo. La msingi ni kuwa, kuwa mwanaharakati hakumsimamishi mtu kuwa mwanasiasa. Hii ikizingatiwa kuwa vyama vyenyewe vya upinzani ni vyama vya harakati.
Tangu lini wasioamini kwenye demokrasia wakawa waumini au washirika kwenye kupambania demokrasia?
Vipi mpigania demokrasia kutomwona Mrusi ni mvamizi Ukraine, akakaa kimya asimwunge mkono Ukraine kwa hali na mali au hadharani?
Au vipi mpigania demokrasia kutomwona Israel kuwa ni mvamizi Palestina, akakaa kimya asimwunge mkono Palestina au HAMAS wenye kupambana na mwizi wao?
Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!
Mpigania ukombozi au demokrasia hawezi kuwa mandumila kuwili.
"Vipi kuilaumu TCRA na Serikali kuzuia matumizi ya VPN wakati chamani na hata mitandaoni hamko tayari kukosolewa?"
Hatuwachukii CCM Kwa sababu ya jina lao, rangi wanazotumia au mwonekano wao. Tunawachukia kwa sababu ya vitendo vyao vya kutoheshimu demokrasia.
Kwamba hauheshimu demokrasia popote? Wewe pia hatuwezi kukuthamini. Wewe pia ni kama li CCM jingine tu katika rangi zako na mwonekano wako.
"Kwa hakika kupigana vita na wewe upande mmoja ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu."
Kwenye hili, amani na mitazamo haina nafasi. Wote wanaoamini katika hili wanapaswa kuwa kitu kimoja. Watarudi kwenye vyama na imani zao baada ya kulifikia lengo.