Myahudi yupo hadi kremlin
Tafuta klip yoyte ya putin akiisema vibaya israel km utaipata
Kwenye hii vita ya ukraine,raia wa ukraine na urusi wanapewa hifadhi nchini israel
Urusi hii hii ya Putin?...Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara la Afrika. Siku sio nyingi wazungu watakuwa maskini sana, wakimbizi na hata watumwa, wetu kama wataendelea na kile wanachokifanya sasa.
Hakuna rafiki au adui wa kudumu duniani. Urusi Sasa ni rafiki wa Iran, Syria, uturuki rna nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Egypt ambazo ni adui wa Magharibi na Israel. Urusi inatafuta washirika wapya ambao itawaimalisha kijeshi na kuwalinda pia. Nyuma ya Urusi wapo China, NKorea, India , Venezuela, Belarus, Serbia, Brazil, na nchi nyingi za Amerika kusini. Muungano wa Ulaya utaasambaratika kabisa.Myahudi yupo hadi kremlin
Tafuta klip yoyte ya putin akiisema vibaya israel km utaipata
Kwenye hii vita ya ukraine,raia wa ukraine na urusi wanapewa hifadhi nchini israel
Hakuna rafiki au adui wa kudumu duniani. Urusi Sasa ni rafiki wa Iran, Syria, uturuki rna nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Egypt ambazo ni adui wa Magharibi na Israel. Urusi inatafuta washirika wapya ambao itawaimalisha kijeshi na kuwalinda pia. Nyuma ya Urusi wapo China, NKorea, India , Venezuela, Belarus, Serbia, Brazil, na nchi nyingi za Amerika kusini. Muungano wa Ulaya utaasambaratika kabisa.
Hapana Ni Ile ya babu msalimia kivuli.Dementia JoeUrusi hii hii ya Putin?...
Mbona Sasa waarabu walishirikiana na Uturuki kusaidia waasi ambao ni extremist ili kumpinga Assad?Moderate Muslims na secularists kama Assad wa Syria ndio dawa ya fundamentals.
Tokea lini mwarabu akawa na akili? Yule atabaki kuwa zwazwa tu miaka yote!Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara la Afrika. Siku sio nyingi wazungu watakuwa maskini sana, wakimbizi na hata watumwa, wetu kama wataendelea na kile wanachokifanya sasa.
Uturuki hana interest ya kumpiga Assad. Baba yake Assad yule Bashar al Assad alikuwa strong sio kama mwanae huyu, yule senior aliifanya Syria iwe ya kikorofi na hivyo Uturuki au yeyote asingetia mguu pale Syria. Baada ya waasi kuisumbua serikali ya Assad akawa anapokea msaada kwa yeyote yule, wanamgambo wa Kikurdi wanaitaka sehemu fulani ya Uturuki na ya Iraq, Syria hawana claims kivile. Ikatokea ISIS ambayo ilitaka kutawala ulimwengu wa Kiislamu, makundi mengine kama Taliban hayakuwa yanaipenda pamoja na hao Kurdish fighters. Wakurdi wakawa wanapigana na ISIS Kaskazini mwa Syria, wakati ISIS haina claims kwa Uturuki. Hivyo ISIS na Uturuki wakajikuta adui yao ni Wakurdi, wakati huo Syria ikajikuta adui yake ni ISIS na waasi.Mbona Sasa waarabu walishirikiana na Uturuki kusaidia waasi ambao ni extremist ili kumpinga Assad?
IN, LABDA YA PUT OUTUrusi hii hii ya Putin?...
Shida ya uturuki ni wale Wakurdi Abdalah Ochlan wa Chama cha PKK ambao wanapatikana Syria, Denmark na kule kwingine ambako Uturuki inawakatalia kujiunga na NATO.Mbona Sasa waarabu walishirikiana na Uturuki kusaidia waasi ambao ni extremist ili kumpinga Assad?
Kwa taarifa yako kule Urusi wako watu ambao ni wakali kuliko Putin. Huyu Putin snap uwezo wa kuzima satellite zote za mawasiliano ya adui anga za juu . Anasubbiri vita kule Ukraine ivuke mstari mwekundu waone vita kamili ya kigiditaliHAPANA SIYO HI YA PUT
IN, LABDA YA PUT OUT
madhala ya tozo hayaIko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara la Afrika. Siku sio nyingi wazungu watakuwa maskini sana, wakimbizi na hata watumwa, wetu kama wataendelea na kile wanachokifanya sasa.
Kwa nini Palestine ikombolewe na Russia na sio kujikomboa yenyewe ?Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara la Afrika. Siku sio nyingi wazungu watakuwa maskini sana, wakimbizi na hata watumwa, wetu kama wataendelea na kile wanachokifanya sasa.
Kwamba China imejengwa kiteknolojia ya kijeshi na Israel ?Hata modernization ya jeshi la China, Myahudi kawauzia sana Wachina tekinolojia ya Kijeshi.
Hata siku moja hutamsikia Mchina akitoa neno juu ya madhila ya Wapalestina