Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

Ukombozi wa Palestine utapatikana kwa maamuzi ya Wapalestina wenyewe. Siku watakapojitenga na makundi ya misimamo mikali kama Hizbolla, ndipo watakapoionja amani.

Kwa njia ya mapigano, kamwe Palestine haitafika popote.
 
Kuna siku ambayo watu walipo duniani kwa sasaa hawataamini kwamba Marekani na Israel watakuja kunyang'anywa nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kisha Mungu ataruhusu wasulubibiwe kama serikali ya sita ya Tanzania ilivyoruhusu waliokuwa na nguvu za kimamlaka kuburuzwa mahakamani kisha kufilisiwa ijapokuwa hawana makosa lakini kwa kuwa kanuni ya Karma is a spinning ball ndicho kitakachotokea na hapo watu wote duniani wataanza kulia na kusaga meno
 
Shida ya uturuki ni wale Wakurdi Abdalah Ochlan wa Chama cha PKK ambao wanapatikana Syria, Denmark na kule kwingine ambako Uturuki inawakatalia kujiunga na NATO.
Well said and educative
 
Ukombozi wa Palestine utapatikana kwa maamuzi ya Wapalestina wenyewe. Siku watakapojitenga na makundi ya misimamo mikali kama Hizbolla, ndipo watakapoionja amani.

Kwa njia ya mapigano, kamwe Palestine haitafika popote.
Hapo ndipo mkono wa Mungu utakapoonekana hata kama sio Leo. Kama Rumi, ottoman na Greece zilianguka basi ziko nyingine zitafuatia. Na hapo ndipo world order itakapogeuka na kubadilika na kuikomboa hata Palestine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…