Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.

Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.

Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Superiority complex inawasumbua, kina Mwabukusi wanaohubiri ukabila na udini uliojificha kwa mgongo wa suala la bandari, dawa yao inaendelea kuiva.
 
Mbeya wanajielewa sana! I know them. long time kitambo, Sangu High School!

JESUS IS LORD & SAVIOR
 
Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.

Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.

Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
ACHA uongo pumbafuuu Wewe.. Sisi hatuna utapi wa mlo..Tumeshiba Sisi
 
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.

Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.

Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.

Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.

Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.

Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.

Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Mungu ibariki Mbeya
 
Una chuki na green city sio bure, leta hizo takwimu hapa.

Mambo ya mauaji tushawaachia chuga na usukumani huko.
Mkibishana na wapumbavu
Chuga iEshimu kama amri ya 4
Chuga na kaskazini (tanga ipo kwa bahati mbaya) imeanza harakati mbeya bado ipo rhodesia
 
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.

Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.

Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.

Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.

Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.

Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.

Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
No , ni Tarime!!!
 
Hii safi sana, mimi nimeipenda sana.

Wakajionee jinsi mawakili wao uchwara wanavyogaragazwa kisheria.

Na wanachi wanaodanganywa danganywa watapata fundisho la kuelewa maana ya agreements na Contracts.

Hapo serikali iitumie hii fursa, ni nzuri sana.
Unataka kusema unapingana na wasomi kama kina shivji,warioba,dk slaa nk
 
Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.

Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.

Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Mmekula shilingi ngapi kwa Waarabu kiasi cha kuwadharau wenye nchi?
 
Mpango ulioanzia Mbeya ukiongozwa na Adv. Mwabukusi kuhusu kudai bandari zetu nimeupenda sana, kama pangetokea wengine wafanye jambo kama lile mikoa mingine, hakika hii nchi ingeamka asubuhi na mapema.

Hata kama patakuwepo vikundi vya wacheza ngoma kama kina Spika Tulia kujaribu kupindisha ukweli, lakini inafahamika wazi, watanganyika sio wajinga, Tulia na wenzake ndio wajinga.
Mbeya akina chapombe Mwabukusi?
 
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.

Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.

Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.

Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.

Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.

Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.

Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Ni kweli Mbeya wakiamua jambo hawahongeki wala kutishwa sio kanda ya ziwa ni wengi na wanaonewa sana lakini akijitokeza mmoja kupaaza sauti zao wanamgeuka baada ya kuhongwa!!!

Mbeya, Songwe (Tunduma) na Mara (Tarime na Butiama), Arusha (Arumeru), Simiyu na Mtwara ndio majasiri sana kujenga hoja na kuzitetea na wako tayari kupoteza maisha ili mradi wanasimamia wanachokiamini mpaka mwisho wa tone la damu.
 
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.

Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.

Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.

Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.

Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.

Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.

Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Mambo yanaenda haraka haraka sana. Njia ya muanguko
 
tunapambania bandari na Tanganyika yetu mmeshaanza mambo ya ukabila kama enzi za kina Mwaikambo na Nsekela. Wakati unamsifia Mwabukusi kumbuka spika anayesimamia huu upuuzi anatoka hukohuko mbeya.
 
Mbeya wako smart sana nalijua hilo.

Mambo hayo angesema mzalendo kama mark mwandosya sawa,ila hawa vichaa sijui mdude chadema,na huyo chizi mwabukusi ni watu wa kupuuzwa tuh
Umebugi meeen. Wewe ni kibaraka wa Waarabu
 
tunapambania bandari na Tanganyika yetu mmeshaanza mambo ya ukabila kama enzi za kina Mwaikambo na Nsekela. Wakati unamsifia Mwabukusi kumbuka spika anayesimamia huu upuuzi anatoka hukohuko mbeya.
Tulia ni msaliti kama Eva alivyokuwa au kama Delila tu
 
Back
Top Bottom