Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

Uchaguzi wa nchi hiì ni wa upande mmoja. Anayegombea urais wa chama fulani ndiye ameiweka tume ya uchaguzi madarakani, hapo haki na usawa vitatoka wapi? Ndio maana tunasema lazima tupate katiba mpya
System ya uchaguzi wetu hata ukianza kumweleza mtu wa nchi nyingine ambako wanazingatia demokrasia ya kweli atabaki anashangaa na inakuwaje mpaka vyama vya upinzani vinakubali kushiriki kwenye maigizo kama hayo! Inachekesha mechi ya mpira unachezwa eti refa anakuwa amechaguliwa na timu mojawapo.Kuna mechi yenye ushindani hapo?
 
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.

Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.

Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.

Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.

Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.

Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.

Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Nadhani hata ufufuko utaanzia mbeya kwa sababu ndiyo mkoa unaoongoza kwa dini na wachungaji/manabii wengi
 
Mlikuwa wapi miaka yote? Majimbo yote yamejaa wabunge wa ccm harafu unaongea pumba hapa.

Nyie Machadema Huwa mnajifariji sana Kwa mihemko 🤣🤣

Choice Variable:

Pinga hoja kwa jingine sio uchaguzi! Ukiwa na akili timamu unaweza kusema kuna uchaguzi Tanzania? Bila Ma DED, Wakuu wa Wilaya, Polisi mnaweza kushinda ? Kwani hao waiousimamia uchaguzi walitoka Mars! Hebu leta hoja hapa kuliko hilo la uchaguzi! Labda tutakusikiliza!
 
Fanya arguments kama mtu mwenye utimamu wa akili. This is too low for JF.

Bams,

Jamaa yangu, CCM imetengeneza wajinga wengi mno......Umeona Mwanza, DP World itatuletea mabinti wa Kiarabu....ndio hoja ya kuuza DP......iko kazi kweli!
 
Hii safi sana, mimi nimeipenda sana.

Wakajionee jinsi mawakili wao uchwara wanavyogaragazwa kisheria.

Na wanachi wanaodanganywa danganywa watapata fundisho la kuelewa maana ya agreements na Contracts.

Hapo serikali iitumie hii fursa, ni nzuri sana.

Nani anadanganywa kuliko anayeaambiwa DP italeta mabikira wa Kiarabu.....!
 
Superiority complex inawasumbua, kina Mwabukusi wanaohubiri ukabila na udini uliojificha kwa mgongo wa suala la bandari, dawa yao inaendelea kuiva.

Kawaambie hao mambumbu wasubiri Mabikira wa Kiarabu......kama sio inferiority complexity ni nini! Jitu zima akili maamuma! Ndio hoja ya kutetea DP World!
 
Nani anadanganywa kuliko anayeaambiwa DP italeta mabikira wa Kiarabu.....!
Ohoo, mbona wameshajaa kitengo cha IT, uko wapi wewe umelala, kuna mabeauty na mjihandsome ya Kiarabu inateremka kila siku. Hebu tembelea japo Kempinski ukajionee.

Unafikiri wanakaa vijigesti vya kajamba nani kwenu huko?

Tena naona Bashe mwaka huu ataowa binti la Kiarabu, maana namuona hatoki Kampinski siku hizi.
 
Dada zako wanasubiriwa....!
 
Hakuna kitu Kama hicho... mpaka muache kutafuna hela za watu(join the chain) na kutukana watu kwasasa mnaonekana ni wahuni Kama wahuni wengine tu.
KWASASA TUPO NA CHAMA CHENYE HESHIMA NA KUHESHIMU UTU WA WATU CHAMA CHA MAPINDUZI ✅

Aliyesema rudi na mavi yako....alitoka wapi......Ni kweli mwenye heshima anayesema DP italeta Mabikira wa Kiarabu.....!
 
Dada zako wanasubiriwa....!
Aaah, mbona tayari wako Oman.

Sasa vijukuu, navyo naingojea mi handsome ya Kiarabu, naenda kuitafuta mwenyewe Kampinski, maana Kiarabu AlhamduliLlah kinapanda.

Wewe subiri Mbeya huko subiri waje Wachina kujenga bomba la gas ya Rostam Aziz anayoiyza Zambia upate kina Ching lung.
 
System ya uchaguzi wetu hata ukianza kumweleza mtu wa nchi nyingine ambako wanazingatia demokrasia ya kweli atabaki anashangaa na inakuwaje mpaka vyama vya upinzani vinakubali kushiriki kwenye maigizo kama hayo! Inachekesha mechi ya mpira unachezwa eti refa anakuwa amechaguliwa na timu mojawapo.Kuna mechi yenye ushindani hapo?

Mkuu,

Kama kuna kitu hakiko sawa ni vyama vya upinzani kushriki uchaguzi....inakataa kabisa kuingia akili...
 
Kawaambie hao mambumbu wasubiri Mabikira wa Kiarabu......kama sio inferiority complexity ni nini! Jitu zima akili maamuma! Ndio hoja ya kutetea DP World!
DP hawahitaji utetezi wangu mimi wala wa mtu yoyote CV yao imetosha kabisa kutetea kampuni yao.

Meli 400 sio mchezo, na hawa waliinunua P & O Neddloyd iliyokuwa kampuni kubwa sana ya shipping walinunua watu wenye uzoefu wa masuala ya bandari na usafirishaji kwa ujumla.

Pia ndio wenye mali za huko Rwanda/ Congo, hao wachungaji wanaowajaza ujinga waumini wao kwanza wajue haya mambo ya shipping ndio wawe na haki ya kuongea na umma wa watanzania.

Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.
 
Pia ndio wenye mali za huko Rwanda/ Congo, hao wachungaji wanaowajaza ujinga waumini wao kwanza wajue haya mambo ya shipping ndio wawe na haki ya kuongea umma wa watanzania.

Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.

Sijakwambia wewe utetee...Waliotetea tumewasikia, hayo unaweka wewe .....watetezi official wa CHAMA CHAKO wametupa hiyo package mpya ya mabikira wa kiarabu....
 
Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.

Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.

Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Tulia Muha wewe watu wapewe sifa zao
 
Ukweli mtupu. Kaskazini wameprove failures maana siasa zao zimekosa ubunifu. Wazee wa vijimatukio na upepo.
 
Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.

Steven,

Hivi uko Tanzania wewe? Nani mbaguzi kuliko Mzanzibari kwa watu wa Bara! Hebu tetea hoja za chama chako kwa mengine, sio hili! Najua unafahamu....ila unajitoa ufahamu kwa makusudi kabisa!
 
DP hawahitaji utetezi wangu mimi wala wa mtu yoyote CV yao imetosha kabisa kutetea kampuni yao.

Meli 400 sio mchezo, na hawa waliinunua P & O Neddloyd iliyokuwa kampuni kubwa sana ya shipping walinunua watu wenye uzoefu wa masuala ya bandari na usafirishaji kwa ujumla.

Pia ndio wenye mali za huko Rwanda/ Congo, hao wachungaji wanaowajaza ujinga waumini wao kwanza wajue haya mambo ya shipping ndio wawe na haki ya kuongea na umma wa watanzania.

Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.

Steven,

Iweke kwenye mizania hiyo CV ya DP World!

Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.

2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.

3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.

4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.

5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.

6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.

7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.

8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.

9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.

10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.

It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world. These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.

The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.
 
Back
Top Bottom