Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Superiority complex inawasumbua, kina Mwabukusi wanaohubiri ukabila na udini uliojificha kwa mgongo wa suala la bandari, dawa yao inaendelea kuiva.Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.
Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.
Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
ACHA uongo pumbafuuu Wewe.. Sisi hatuna utapi wa mlo..Tumeshiba SisiMbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.
Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.
Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Waarabu gani?Mbona una hasira sana leo warabu wamekufanya kitu gani?
Maana wana tabia mbaya wale.
Mkoa wote una wabunge wa ccm 😁😁Mbeya wanajielewa sana! I know them. long time kitambo, Sangu High School!
JESUS IS LORD & SAVIOR
Wa dp worldWaarabu gani?
Mungu ibariki MbeyaWana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Mkibishana na wapumbavuUna chuki na green city sio bure, leta hizo takwimu hapa.
Mambo ya mauaji tushawaachia chuga na usukumani huko.
No , ni Tarime!!!Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Unataka kusema unapingana na wasomi kama kina shivji,warioba,dk slaa nkHii safi sana, mimi nimeipenda sana.
Wakajionee jinsi mawakili wao uchwara wanavyogaragazwa kisheria.
Na wanachi wanaodanganywa danganywa watapata fundisho la kuelewa maana ya agreements na Contracts.
Hapo serikali iitumie hii fursa, ni nzuri sana.
Mmekula shilingi ngapi kwa Waarabu kiasi cha kuwadharau wenye nchi?Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.
Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.
Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Mbeya akina chapombe Mwabukusi?Mpango ulioanzia Mbeya ukiongozwa na Adv. Mwabukusi kuhusu kudai bandari zetu nimeupenda sana, kama pangetokea wengine wafanye jambo kama lile mikoa mingine, hakika hii nchi ingeamka asubuhi na mapema.
Hata kama patakuwepo vikundi vya wacheza ngoma kama kina Spika Tulia kujaribu kupindisha ukweli, lakini inafahamika wazi, watanganyika sio wajinga, Tulia na wenzake ndio wajinga.
Ni kweli Mbeya wakiamua jambo hawahongeki wala kutishwa sio kanda ya ziwa ni wengi na wanaonewa sana lakini akijitokeza mmoja kupaaza sauti zao wanamgeuka baada ya kuhongwa!!!Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Mambo yanaenda haraka haraka sana. Njia ya muangukoWana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Wazee wa mbeya hawajui wale wa uhakika, haa umenikumbusha barabara ya mwanganyangaKina Tulia mambo yamewachachia hadi wanaomba wazee wa mila wawaloge kia Mwabukusi
Umebugi meeen. Wewe ni kibaraka wa WaarabuMbeya wako smart sana nalijua hilo.
Mambo hayo angesema mzalendo kama mark mwandosya sawa,ila hawa vichaa sijui mdude chadema,na huyo chizi mwabukusi ni watu wa kupuuzwa tuh
Tulia ni msaliti kama Eva alivyokuwa au kama Delila tutunapambania bandari na Tanganyika yetu mmeshaanza mambo ya ukabila kama enzi za kina Mwaikambo na Nsekela. Wakati unamsifia Mwabukusi kumbuka spika anayesimamia huu upuuzi anatoka hukohuko mbeya.
wote waliingia kwa hisani ya yule dikteta uchwara, kwenye ule uchafuzi. mioyo ya watu ilijeruhiwa sana ikabidi mzee asepeshwe.Mkoa wote una wabunge wa ccm [emoji16][emoji16]
Issue ni pombe? Mbona Yesu alikuwa mnywaji na kwa kuiheshimu muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa divaiMbeya akina chapombe Mwabukusi?