Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mbeya

wote waliingia kwa hisani ya yule dikteta uchwara, kwenye ule uchafuzi. mioyo ya watu ilijeruhiwa sana ikabidi mzee asepeshwe.


Yesu ni Masihi
Acheni umbumbumbu nyie Toka Vyama vingi ukiacha mjini wapi mliwahi pata mbunge?

Nakuhakikishia 2025 mtapigwa hivyo hivyo
 
Bibi sheria ulisomea wapi?

Naona umegeuka mwanasheria wa ghafla ili kumlinda Samia!.

Baadae utageuka kuwa mhasibu!, ikibidi mwalimu!, ikilazimu kabisa utakuwa mganga wa kienyeji!!
Kicheche huyu
 
Mwaka fulani nikiwa mbeya msafara wa kikwete ulivurumishiwa mawe hakika ule ujasiri sijui uliishia wapi
 
Bible ni kitabu kilichovurugwa sana na wazungu wakati walipokuwa wanauchakata ukristo ili uendqne na matakwa yao ikiwemo hilo ililosema.
Issue ni pombe? Mbona Yesu alikuwa mnywaji na kwa kuiheshimu muujiza wake wa kwanza aligeuza maji kuwa divai
 
We jamaa jitambulishe kwanza kabila lako then tuendelee,huwez kuelezea mkoa wa Mbeya kichawa hivo
 
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Mbeya yenyewe wengi ni Wanyasa na Wazambia.

Unafikiri serikali haijuwi hilo? Ngoja waanze kurudishwa makwao ndiyoutaelewaa kuwa hujuwi.
 
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini ukombozi ukaanzia kwa watu ambao hata kupangilia makazi yao hawajui?

Wajifunze kwanza kujenga kwa mpangilio
 
Shingo haipiti kichwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu Kama hicho... mpaka muache kutafuna hela za watu(join the chain) na kutukana watu kwasasa mnaonekana ni wahuni Kama wahuni wengine tu.
KWASASA TUPO NA CHAMA CHENYE HESHIMA NA KUHESHIMU UTU WA WATU CHAMA CHA MAPINDUZI ✅
 
Huu ndio ukweli.
 
Mkibishana na wapumbavu
Chuga iEshimu kama amri ya 4
Chuga na kaskazini (tanga ipo kwa bahati mbaya) imeanza harakati mbeya bado ipo rhodesia
Umeelewa nilichoandika au umereply kwa hisia zako tu kijana??
 
Watu wa huko wanaaminika na si wanafiki labda kwa wachache wanaotetea matumbo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…