samsolo the great
JF-Expert Member
- Jul 9, 2021
- 750
- 1,086
System ya uchaguzi wetu hata ukianza kumweleza mtu wa nchi nyingine ambako wanazingatia demokrasia ya kweli atabaki anashangaa na inakuwaje mpaka vyama vya upinzani vinakubali kushiriki kwenye maigizo kama hayo! Inachekesha mechi ya mpira unachezwa eti refa anakuwa amechaguliwa na timu mojawapo.Kuna mechi yenye ushindani hapo?Uchaguzi wa nchi hiì ni wa upande mmoja. Anayegombea urais wa chama fulani ndiye ameiweka tume ya uchaguzi madarakani, hapo haki na usawa vitatoka wapi? Ndio maana tunasema lazima tupate katiba mpya
Kajifunze kuandika kwanza.Umeanza kulaumu na kulalamika Toka upate utashi Hadi unakuta itakuwa hivyo hivyo [emoji1787][emoji1787]
Nadhani hata ufufuko utaanzia mbeya kwa sababu ndiyo mkoa unaoongoza kwa dini na wachungaji/manabii wengiWana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana viwanja vya mahakama vilijàa sana kiasi cha wananchi kuomba kesi ikasikilizwe kwenue viwanja vya Mapinduzi, siku hizi mnaita Sokoine.
Mikoa yote ingekuwa na watu wenye fikra na uthùbutu walio nao watu wa Mbeya, nchi hii isingekuwa kama hivi ilivyo.
Aibu ambayo Tulia Ackson ametuvalisha wana Mbeya, tumeondolewa na wakili wetu msomi Mwabukusi.
Mbeya hatutaki vibaraka, hatutaki ukoloni mambo leo, hatutaki rasilimali za Tanganyika zichezewe.
Nasikia jana Zanzibar na Tanzania zimeingia mkataba wa madini, aisee, hiki ni kituko cha mwaka, Tanzania ni wapi na Zanzibar ni wapi?
Mlikuwa wapi miaka yote? Majimbo yote yamejaa wabunge wa ccm harafu unaongea pumba hapa.
Nyie Machadema Huwa mnajifariji sana Kwa mihemko 🤣🤣
Fanya arguments kama mtu mwenye utimamu wa akili. This is too low for JF.
Hii safi sana, mimi nimeipenda sana.
Wakajionee jinsi mawakili wao uchwara wanavyogaragazwa kisheria.
Na wanachi wanaodanganywa danganywa watapata fundisho la kuelewa maana ya agreements na Contracts.
Hapo serikali iitumie hii fursa, ni nzuri sana.
Superiority complex inawasumbua, kina Mwabukusi wanaohubiri ukabila na udini uliojificha kwa mgongo wa suala la bandari, dawa yao inaendelea kuiva.
Ohoo, mbona wameshajaa kitengo cha IT, uko wapi wewe umelala, kuna mabeauty na mjihandsome ya Kiarabu inateremka kila siku. Hebu tembelea japo Kempinski ukajionee.Nani anadanganywa kuliko anayeaambiwa DP italeta mabikira wa Kiarabu.....!
Ohoo, mbona wameshajaa kitengo cha IT, uko wapi wewe umelala, kuna mabeauty na mjihandsome ya Kiarabu inateremka kila siku. Hebu tembelea japo Kempinski ukajionee.
Unafikiri wanakaa vijigesti vya kajamba nani kwenu huko?
Tena naona Bashe mwaka huu ataowa binti la Kiarabu, maana namuona hatoki Kampinski siku hizi.
Hakuna kitu Kama hicho... mpaka muache kutafuna hela za watu(join the chain) na kutukana watu kwasasa mnaonekana ni wahuni Kama wahuni wengine tu.
KWASASA TUPO NA CHAMA CHENYE HESHIMA NA KUHESHIMU UTU WA WATU CHAMA CHA MAPINDUZI ✅
Aaah, mbona tayari wako Oman.Dada zako wanasubiriwa....!
System ya uchaguzi wetu hata ukianza kumweleza mtu wa nchi nyingine ambako wanazingatia demokrasia ya kweli atabaki anashangaa na inakuwaje mpaka vyama vya upinzani vinakubali kushiriki kwenye maigizo kama hayo! Inachekesha mechi ya mpira unachezwa eti refa anakuwa amechaguliwa na timu mojawapo.Kuna mechi yenye ushindani hapo?
Acha kulalamika hovyo kwanzaKajifunze kuandika kwanza.
DP hawahitaji utetezi wangu mimi wala wa mtu yoyote CV yao imetosha kabisa kutetea kampuni yao.Kawaambie hao mambumbu wasubiri Mabikira wa Kiarabu......kama sio inferiority complexity ni nini! Jitu zima akili maamuma! Ndio hoja ya kutetea DP World!
DP hawahitaji utetezi wangu mimi wala wa mtu yoyote CV yao imetosha kabisa kutetea kampuni yao.
Meli 400 sio mchezo, na hawa waliinunua P & O Neddloyd iliyokuwa kampuni kubwa sana ya shipping walinunua watu wenye uzoefu wa masuala ya bandari na usafirishaji kwa ujumla.
Pia ndio wenye mali za huko Rwanda/ Congo, hao wachungaji wanaowajaza ujinga waumini wao kwanza wajue haya mambo ya shipping ndio wawe na haki ya kuongea umma wa watanzania.
Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.
Tulia Muha wewe watu wapewe sifa zaoMbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.
Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.
Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.
Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.
DP hawahitaji utetezi wangu mimi wala wa mtu yoyote CV yao imetosha kabisa kutetea kampuni yao.
Meli 400 sio mchezo, na hawa waliinunua P & O Neddloyd iliyokuwa kampuni kubwa sana ya shipping walinunua watu wenye uzoefu wa masuala ya bandari na usafirishaji kwa ujumla.
Pia ndio wenye mali za huko Rwanda/ Congo, hao wachungaji wanaowajaza ujinga waumini wao kwanza wajue haya mambo ya shipping ndio wawe na haki ya kuongea na umma wa watanzania.
Wasiwajaze waumini roho za ubaguzi kwa kutegemea sadaka zao wakumbuke kuwa hiyo pesa wanayopewa wanaitafuta kwa waajiri wenye kufanana na DPW, watanue ubongo na kuielewa dunia ya kisasa ipo vipi.