Ukome tena ukome kuniita mimi mkeo balazuri mkubwa!!

Ukome tena ukome kuniita mimi mkeo balazuri mkubwa!!

demu kaingia choo cha kiume...anapanga uongo wa kujitetea
 
balazuri = baradhuli

sasa kwenye hiyo message kulikuwa na balazuri au wewe ndio ulieituma sasa umeamua kuiedit kidogo kuonyesha ulikosea kidogo na sasa huyo mtu ni baradhuli na sio balazuri, anyway, thanks for your updates.
 
Soma kichwa cha habari, nta edit vipi kichwa cha habari na nyuzi si yangu? Unanchekesha!
 
hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli

tena na wewe ukome ukome ukome
akuna mke mtarajiwa duniani vinginevyo tusingeoa kama tayari tuna wake hope umenipata
tena namwongezea akome kumuita mke amemuoa ???tatizo mkijichanganya na vijisenti mnabadili majina ya watu kabisa mnahisi ni rahisi hivyo
 
Tunaambiwa mkishalala pamoja mmekuwa mwili mmoja viongozi wa dini ndio wanakuja kudhibitisha na kusema mmekuwa mme na mke
 
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli

leso zipo za 300,500 na kama jasho linamtoka sana mwambie akanunue shuka ajifutie hayo majasho.
 
Demu kaishalishwa sumu na mashosti wake wa saluni!Mwambie mshikaji atulize boli kwa muda ikiwezekana ampe hata siku mbili bila kuwasiliana naye inaonekana huyo mwanadada bado anahasira na mshikaji juu ya umbea aliopewa!!
 
Ampe muda, asubiri baada ya wiki moja halafu amtafute tena aone reaction. Kuna watu wengine wana mood za ajabu sana!
 
hiyo txt ina mapungufu mengi mno kushughulika nayo. kwanza inaonyesha aliyetuma alikuwa na majibizano na mtumiwa. hatufahamu hayo majibizano yalikuwa kwenye mazingira gani na makali gani!!
kwa hivo:- asiijibu hiyo txt wala kuonyesha dalili zozote za kuipata kwenye simu yake.
Kama aliyetuma alidhamilia kusema hayo aliyoandika lazima atalianzisha tena! atakapolianzisha basi huo ndiyo utakuwa wakti muafaka wa kujua kiini cha hiyo txt. maana kwa vyovyote mwandishi wa hiyo txt atakuwa amechukia zaidi ya huyo rafiki yako kwa hiyo atabwabwaja yote yaliyomfanya aandike hiyo txt!!
na jamaa akishajua kiini, naye ataangalia namna ya kumdhibiti huyo mchumba maneno!
 
.......kuna mambo ya kujaribu bana..... sio hilo....

avatar yako inanipa raha sana.... yani kila nioonapo lazima ncheke....
 
Dawa, have a spare tyre.
Hili likipata pancha weka hili lingine....
Safari inaendelea.
Nitoe kamasi ili?
 
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli

Katika hali kama hii ili kujua kama ni ya kwako au sio yako: Forward the message back to the sender and keep quiet.
baada ya muda utapata majibu.
 
MAWILI:
1. Yawezekana binti katongozwa na mwanaume mwingine ambaye hampendi na mwanaume akawa ni king'ang'anizi akaanza kumwita "mke wangu" sasa ktk kuonesha msimamamo na kumjibu akakosea namba na kumtumia mchumba ake huyo.
2. Yawezekana yuko na mwanaume mwingine ambaye alimtongoza na binti akamkubalia lakini akamprecaution kwamba yuko na mchumba hivyo walivyokuwa pamoja na huyo jamaa aka access simu ya binti na kukutumia msg ili kuharibu na ndio maana mchumba alivyopiga simu haikupokelewa badala yake ikazimwa.

USHAURI WANGU: Kuwa mpole na iambie nafsi yako itulie na kaa chini na mchumba wako huyo umuulize kwa upole kabisa na kwa busara na majibu atakayokupa ndo utajua nini cha kufanya. but now calm down umtafute mchumbako muongee.
 
huyo mdada aliikosea hiyo text baada ya kwenda kwa mlengwa ikaenda kwa jamaa kikubwa ni kwamba kapata mshtuko atamwambia nini jamaa.cha muhimu ajitahid kumtafuta watoku fesi tu fesi
 
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli

huyo rafiki yako na yeye hana swaga.Bora angekuwa anamwita wife,honey au baby.Hii siyo miaka ya kuitana mke
 
mkuu mzima wewe lakini,
habari za kazi.

Sasa kama ni mchumba, hilo neno "Ukome kuniita mimi mkeo" limetoka wapi? nadhani huyo mchumba atakuwa alikusudia kumtumia mume wake wa zamani waliotalikiana, maana mtu hawezi kujiita mke wa mtu fulani pasipo ndoa, nijuavyo mimi. Othewise atabaki kuwa mchumba au mke mtarajiwa tu. Inawezekana itakuw aimetumwa wrong number.
 
Back
Top Bottom