Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
balazuri = baradhuli
sasa kwenye hiyo message kulikuwa na balazuri au wewe ndio ulieituma sasa umeamua kuiedit kidogo kuonyesha ulikosea kidogo na sasa huyo mtu ni baradhuli na sio balazuri, anyway, thanks for your updates.
hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli
tena na wewe ukome ukome ukome
akuna mke mtarajiwa duniani vinginevyo tusingeoa kama tayari tuna wake hope umenipata
tena namwongezea akome kumuita mke amemuoa ???tatizo mkijichanganya na vijisenti mnabadili majina ya watu kabisa mnahisi ni rahisi hivyo
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli
Ha ha ha pengine mdada kakosea no,haikuwa ya rafiki yako,au walikuwa wameongea kabla ya hyo sms?
leso zipo za 300,500 na kama jasho linamtoka sana mwambie akanunue shuka ajifutie hayo majasho.
Aliyejibu ni bwana mwingine aliyekuwa anamla uroda huyo dem na sio yeye.
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli
Hii ni meseji iliyongia kwenye simu rafiki yangu leo asubuhi kutoka kwa mke wake mtarajiwa. Rafiki haelewi alichomfanyia mpaka amefikia hatua hiyo. Sasa jamaa anajiuliza huyu mchumba wake anamtega aili aone jamaa atafanya nini au mchumba wake tayari ana mwanaume mwingine. Amejaribu kumpigia simu simu yake haipokelewi na amejaribu sasa hivi simu haipatikani. Kwa kweli jamaa jasho linamtoka kwelikweli
Sasa kama ni mchumba, hilo neno "Ukome kuniita mimi mkeo" limetoka wapi? nadhani huyo mchumba atakuwa alikusudia kumtumia mume wake wa zamani waliotalikiana, maana mtu hawezi kujiita mke wa mtu fulani pasipo ndoa, nijuavyo mimi. Othewise atabaki kuwa mchumba au mke mtarajiwa tu. Inawezekana itakuw aimetumwa wrong number.