Ukomo wa damu baada ya kujifungua

Ukomo wa damu baada ya kujifungua

Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili..

Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo?

Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda gani baada ya kujifungua?

Madaktari na wenye uzoefu nawasilisha kwenu.

Hongera sana, Mungu akupe wewe na wanao afya tele.
 
Uvalishaji wa diaper wahitaji uangalifu kweli usimuache nayo more than 3 hours mie namtumilia 8-10 diapers per day akijisaidia haja kubwa lazima nimuoshe na warm water na mild soap yake then nampakaa vaseline....

Btw twins wako ni wa kike au wa kiume nakuona choyo lol napenda twins jaman

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

And Here I Thought I Was Being A Bad Mom ...........nappies namvisha wangu mara chache since day one.....
 
Back
Top Bottom