Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
wengine huanza wakiwa na 35 yearsni kipindi ambacho mwanamke anafikia kikomo kupata mzunguko wa hedhi (end of menstruation)
hivo hawezi tena kupata ujauzito
ni miaka kuanzia 45-55
Menopause ina maana gani jamani?
kwa nini usitafute kidogo hiyo shule kuliko kuletewa wewe kumeza tu.......sidhani kama ni sawa sana
kwa nini usitafute kidogo hiyo shule kuliko kuletewa wewe kumeza tu.......sidhani kama ni sawa sana
Menopause ina maana gani jamani?
Ange-google kidogo ale shulenazani yuko sawa kwani elimu si lazima upate dalasani tu.
....ni uvivu wa hali ya juu....lakini unakuta mtu yupo facebook....instagram....lakini kuperuzi tu what is menopause inakua shida...Miafrika ndivyo Tulivyo..sosi NN
Kongosho, hujambo? KUna sehemu niona thread kuna mtu anaulizia uko wapi. Hivi ni kweli uliadimika hapa?Mmh, unataka kujua kishule shule kwa ajili ya mtihani ama kwa ajili ya kukabiliana nalo?
Wengine tulipata ulimipause, yaani ilikoma kabla ya kuanza.
Nadhani huyo mtu ana hamu sana na weweWapi huko
Mie nipo ikila siku mbona
Mie sijambo, hofu na mshaka kwalo uliye mbali na upeo wa macho yangu
Jikiteni kwenye mada tafadhali maana hata mimi nataka kujua kama tayari au badoMbona unaongea kama dume?
Hata wewe Power Two ni vigumu mtu kujua ni KE au MEMbona unaongea kama dume?
Jikiteni kwenye mada tafadhali maana hata mimi nataka kujua kama tayari au bado
Wewe ndio kwanza upo kwenye 30+ hivyo muda wako bado sanaJikiteni kwenye mada tafadhali maana hata mimi nataka kujua kama tayari au bado
Amekuambia naniWewe ndio kwanza upo kwenye 30+ hivyo muda wako bado sana
Siku hz hata wanaume wanaingia bleed na ikifika 30+ mnpose inatake place[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]