Ukomo wa hedhi(menopause)

Ukomo wa hedhi(menopause)

kwa nini usitafute kidogo hiyo shule kuliko kuletewa wewe kumeza tu.......sidhani kama ni sawa sana
 
kwa nini usitafute kidogo hiyo shule kuliko kuletewa wewe kumeza tu.......sidhani kama ni sawa sana

nazani yuko sawa kwani elimu si lazima upate dalasani tu.
 
Menopause ina maana gani jamani?

Thamani ya jf inashuka thamani kila siku uchwao.....mod thread zitokanazo na uvivu wa mtu binafsi zafaa kuondolewa haraka kwani hili jibu lipo hata kwenye dictionary ndogo tu au hata kwa mtu jirani
 
Miafrika ndivyo Tulivyo..sosi NN
....ni uvivu wa hali ya juu....lakini unakuta mtu yupo facebook....instagram....lakini kuperuzi tu what is menopause inakua shida...
 
Mmh, unataka kujua kishule shule kwa ajili ya mtihani ama kwa ajili ya kukabiliana nalo?

Wengine tulipata ulimipause, yaani ilikoma kabla ya kuanza.
Kongosho, hujambo? KUna sehemu niona thread kuna mtu anaulizia uko wapi. Hivi ni kweli uliadimika hapa?
 
Last edited by a moderator:
Mwezi uliopita sikuona siku zangu kabisa sijawahi fanya tendo la ndoa muda mrefu.Hata hivyo nikaona nikapime kujiridhisha sikuwa mja mzito.
Mwezi huu nimeingia lakini siku mbili tu badala ya nne.Hata hivyo hamu ya tendo la ndoa imepungua na naona karaha na uke unakauka na kuna mabadiliko makubwa najisikia mwilini.Mimi ni KE nina umri wa miaka 48 na watoto watatu.
Nimetoa uzi huu kwa faida ya wengine pia mabingwa wa fani hii wafafanue zaidi.
Nimejaribu kuweka link flani hapo chini
 
Hapa tunaelimishana hii kitu inamgusa au itamgusa kila mtu.Eleweni uzi huu umuhimu wake.Kuna ndoa zinavunjika uzeeni au wengine wanalazimika kuwa na nyumba ndogo sababu tu ya ignorance ya kutokumjua mwenzio yuko hali gani
Jikiteni kwenye mada tafadhali maana hata mimi nataka kujua kama tayari au bado
 
Back
Top Bottom