Ukomo wa kufanya mapenzi na mjamzito

Ukomo wa kufanya mapenzi na mjamzito

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Wadau nauliza ikiwa demu wangu anaelekea kutimiza miez nane ya ujauzito je naruhusiwa kusex nae hadi muda gani?/au hadi siku ya kujifungua? Na pia style ambazo sio hatarishi ni zp?
Pia inaruhusiwa kumwagia shahawa ndani au bora nitumie ndomu?
 
Hakuna ukomo kama daktari hajatia neno na ukigegeda mama mtarajiwa hana tatizo lolote lile labda maumivu au kubleed. Madaktari hushauri kuendelea kugegeda hadi siku ya mwisho kama inawezekana kwani husaidia kufungua uke kirahisi siku ya kujifungua. Ila kama kuna tatizo lolote basi ni lazima muwafamishe madaktari mara moja na pia mambo yawe aste aste 😜😜😜
 
Hakuna ukomo kama daktari hajatia neno na ukigegeda mama mtarajiwa hana tatizo lolote lile labda maumivu au kubleed. Madaktari hushauri kuendelea kugegeda hadi siku ya mwisho kama inawezekana kwani husaidia kufungua uke kirahisi siku ya kujifungua. Ila kama kuna tatizo lolote basi ni lazima muwafamishe madaktari mara moja na pia mambo yawe aste aste [emoji12][emoji12][emoji12]
Umesema vizuri sana...
 
Wadau nauliza ikiwa demu wangu anaelekea kutimiza miez nane ya ujauzito je naruhusiwa kusex nae hadi muda gani?/au hadi siku ya kujifungua? Na pia style ambazo sio hatarishi ni zp?
Pia inaruhusiwa kumwagia shahawa ndani au bora nitumie ndomu?
piga mambo mpaka saa chache kabla ya kujifungua, mwaga mzigo ndani
 
Hakuna ukomo kama daktari hajatia neno na ukigegeda mama mtarajiwa hana tatizo lolote lile labda maumivu au kubleed. Madaktari hushauri kuendelea kugegeda hadi siku ya mwisho kama inawezekana kwani husaidia kufungua uke kirahisi siku ya kujifungua. Ila kama kuna tatizo lolote basi ni lazima muwafamishe madaktari mara moja na pia mambo yawe aste aste [emoji12][emoji12][emoji12]
Hivi si inakuwa ya moto sana [emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom