Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Polisi dubai wanatumia McLaren, Bentayga, Lambos, Buggati kama patrol cars.

Hakuna cha ajabu mbona?

Kuna hoteli hapo South Africa wanakuja kukuchukua Airport na RR Vogue.
 
Watu wanakariri mbaya kabisa mzee baba yaani wao wakisikia tu Benz/Mercedes basi wanajua ni gari ya maana sana.
Hapa tunaongelea Toyota hizi za kwetu huku matopeni.

Manake hata hizo Lexus ni nadra mara mia hata benz.
 
Duuuh, mkuu ume generalize moja Kwa moja. Shida ni Toyota ana gari aina nyingi na nyingine kabadili muundo wa body ila injini unakuta zimeshare gari 5.
Naomba uelewe ninachoongelea hapa.

Toyota hizi zetu huku.

Lexus ni brand ipo chini ya toyota ila ina deal na category tofauti.
 
Mkuu naongelea Toyota hizi tunazopishana nazo mitaani. Manake hata hizo Lexus hazipo bongo. Ni adimu kuliko hata hizo Benz.
Hizi sasa msizi compare na high end cars kama 7 series ama Benz S class
 
Hapa tunaongelea Toyota hizi za kwetu huku matopeni.

Manake hata hizo Lexus ni nadra mara mia hata benz.
Safi sana,nisaidie kunijulisha entry level Benz-C class ina kipi cha kuishinda Crown as per your statement.
 
Mkuu naongelea Toyota hizi tunazopishana nazo mitaani. Manake hata hizo Lexus hazipo bongo. Ni adimu kuliko hata hizo Benz.
Kwani hizi S-class na 7-series hua mnapishana nazo kwa wingi huku mtaani?
 
Safi sana,nisaidie kunijulisha entry level Benz-C class ina kipi cha kuishinda Crown as per your statement.
Mwaka 2000 Toyota walipotengeneza Toyota Bervis kushindana na BMW series 3, na Mercedes Benz C Class. Sasa sijui wanadharau Toyota kwa fact zipi.
 
Mhindi soon atawawekea Engine za tata kwny LR na wataendelea kusifia hivi hivi.
Mhindi kwenye Defender huko ulaya gari zake alikuwa akitengeneza zinashindwa kukidhi vigezo vya Euro Emmision Kwa injini zao za diesel.

Hao wahindi wana mkataba na Cummins kwenye injini baadhi ya Tata wamefunga Cummins engine, ipo siku Land Rover watazitia Cummins.
 
Polisi dubai wanatumia McLaren, Bentayga, Lambos, Buggati kama patrol cars.

Hakuna cha ajabu mbona?

Kuna hoteli hapo South Africa wanakuja kukuchukua Airport na RR Vogue.
Toa mfano nje ya Dubai, nchi gani nyingine?
 
Mkuu huko Marekani hiyo series L 200 ambayo unasema ni mavyuma inauzwa sana kama Toyota Sequoia.

Na hao wazungu wasio na akili timamu LC200 ndio gari yao wanayotegemea wakiwa Africa,South America,Asia katika shughuli zao na UN agencies mbalimbali.

Mzungu sio mjinga kwani unadhani hawazioni Benz G Class,Vw Tourage,Amarok, Audi Q7 wakitaka wafanye kazi ya uhakika.Mzungu mjanja hawezi kukubali kutumia toy kwenye serious job aingie hasara ya kununua spea na service zisizotabirika.
 
Niletee picha BMW na Mercedes g wagon wapo field na US Navy. Toyota mnamchukulia kisport sport sio?

Na tukisema LR karudi nyuma muelewe tu, alipotoka ni mbali kuliko anapokwenda.
 
Niletee picha BMW na Mercedes g wagon wapo field na US Navy. Toyota mnamchukulia kisport sport sio?
View attachment 1634357
Na tukisema LR karudi nyuma muelewe tu, alipotoka ni mbali kuliko anapokwenda.
View attachment 1634358
Hatari sana L/Rover hizo 130 aliacha kutoa kipindi cha nyuma kwenye. Hizi new model katoa 90 ya milango 3 na 110 ya milango 5.

Mwenzake Toyota L/Cruiser ana Double Cabin ambayo alikuwa amejipanga kushindana na LR yenye 130inches na ana matoleo ya 6*6 ambapo mwenzake saizi kaja na 4*4 tu.
 
Ni ufahamu tu, kuna mwingine anasema model ya miaka ya nyuma lakini bei juu. Hajui tu hata hao wanaotengeneza hizo BMW, Mercedes, Bentley na Rolls Royce wanabalozi zao hapa nchini lakini unawakuta wamejirundika kwenye magari ya TOYOTA. Hao UAE (Dubai) si wanaofisi za ubalozi mbona hawatumii Lamborghini, Bentley na hizo Rolls Royce hapa Tanzania?

Kumbe wanazinunua wakiwa Africa au S. America ila wakiwa kwao LA, WA hawazinunui.

Kiuhalisia LC 200 inapungua kwenye popularity duniani.

Off roading experience inapungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…