Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Toyota ndio wametaka iwe competitor wa Bimmer na s class za MB. Sasa toyota hio 2020 unakuta bado imeachwa nyuma na bimmer ya 2008 tena sana tu.

Kuna rafiki yangu amenunua 1 series kwa 18M ya 2013 karithishwa na jamaa yake, sasa ununue ist kwa lipi jengine kama sio upatikanaji wa spea rahisi tu 😀 hio 1 series ukiwa umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota? labda wakuekee siti za kusogeza mbele na nyuma kwa button 😀 halafu waite luxury.

Hio ni hybrid ...na kama hujui kwenye hybrid toyota anauza sana kina prius
 
Hio ni hybrid ...na kama hujui kwenye hybrid toyota anauza sana kina prius
Jamaa hajitambui huyo...Nimemwambia concept ni moja na lengo ni kusave mafuta analeta ubishi 😂😂😂!

Hakuna gari inaendeshwa na battery bila motor!
 
Hebu cheki hii lexus ya 2019 amabayo iko on Par na BMW 7 series. On top of that its a car that will last for 500k miles bila major issues compared na hio BMW ambayo after 50K mile itakutia umaskini full!

Kimuonekano, Ls series zinamuonekano mzuri, ipo kiujana zaidi, 7 Series ni executive car, interior yake ni more luxurious compared to ls500 na iko more technological advance uki compare na hio ls500. Hapo naweza kusema kuwa Lexus wamejitahidi.

Suala la reliability, toyota in general wapo vizuri kwenye engine, lakini hata hivo kwa kudai kuwa eti after 50k upate major issues kwenye Bimmer, aaah unatania apo. Service the car on time using proper replacement parts na recommended fluids utaenjoy maisha. Wengi wanaoteseka na BMW wanajaribu kupita short cut wakitumia mafundi wa chini ya muembe. Sielewi unamiliki gari la milioni 200 unakwenda kwa mudi muembeni akutengezee.
 
Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.

Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 😀 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
hiyo ni gari ya kazi unakumbuka hizi land rover defender kwann zilisitishwa ,, 2016

Kunamabadiliko yalitakiwa fanyika kwenye hio gari ...na watengenezaji hawakuwa tayari ile gari ya kazi kuanza weka mavitu ya ovyo sijui ma power window, wakaamua bora waache tu ni kama unavotaka lx iwe luxury wabadil dash mara ma tv sijui radio android aah ni ujinga
 
Wadau wa Sedan za Toyota watahamia kwenye Toyota Centurion

Wadau wa Toyota Crown watahamia kwenye Toyota Century.
Toyota Century ni mnyama zaidi ya Crown Kwa Tanzania itaogopeka sababu ya fuel consumption.

Toyota century shape yake mbaya, mie sijaipenda hata.
 
Hio ni hybrid system nzima kabisa, hicho nlichokieleza hapo sio hybrid, kwa sababu ukikanyaga accelerator unatumia mafuta. Hybrid unaweza kuendesha tuseme mpaka 60mph ukawa unatumia battery na baada ya hapo ndio ukatumia mafuta. So hio feature huwezi kufananisha na hybrid

Kwa hiyo hio BMW unasema sio hybrid
 
Watoe tu mbona Rolls Royce walitoa Cullinan na Bentley wakatoa Bentyaga na maisha yanaenda.

Soko la Cross SUV ndio soko linalofanya vizuri zaidi. Watu wanahama kwenye Sedans kwa kasi wanakimbilia kwenye hatchbacks na Cross SUV. Toyota wanaenda kufanya mabadiliko makubwa tu kuna Corrolla imetoka inaitwa Corrolla Cross imesimamia kucha. Model ya 2021

IMG_4959.png

Hii kitu imesimama bhana.! Daah hadi natamani hata nipate hela hata kwa ndagu nimiliki huyu mnyama.!
 
Hio ni hybrid ...na kama hujui kwenye hybrid toyota anauza sana kina prius
Jamaa hajitambui huyo...Nimemwambia concept ni moja na lengo ni kusave mafuta analeta ubishi 😂😂😂!

Hakuna gari inaendeshwa na battery bila motor!
Sijui kama mmelewa lakini how it works.....

Hio BMW haina Hybrid engine. Hybrid car huwa ina combustion engine na Hybrid powetrain yake (kama inatumia battery) yaani, wakati unatumia umeme, inachosukuma gari sio ile combustion engine, kuna motor nyengine ndio inasukuma hio gari.

Hio BMW, haina motor inayosukumwa na umeme. Hio BMW haiendeshwi na battery. Na nimesema hapo juu kuwa ukikanyaga mafuta tu engine inafanya kazi. Kinachotokea hapo ni kuwa engine inazimwa lakini kila kitu ndani ya gari kinafanya kazi kama vile engine haikuzimwa. Hio ni start and stop feature.

Nakumbushia nlichosema hichi hapa "hio 1 series ukiwa umeachia accelerator tu inaatumia battery mpk ukanyage tena, utayakuta wapi mambo kama hayo kwa toyota?"

Sasa Extrovert wapi nimesema kuwa hio gari inaendeshwa na battery? mnajichanganya wenyewe tu.
 
hiyo ni gari ya kazi unakumbuka hizi land rover defender kwann zilisitishwa ,, 2016

Kunamabadiliko yalitakiwa fanyika kwenye hio gari ...na watengenezaji hawakuwa tayari ile gari ya kazi kuanza weka mavitu ya ovyo sijui ma power window, wakaamua bora waache tu ni kama unavotaka lx iwe luxury wabadil dash mara ma tv sijui radio android aah ni ujinga
Usibadilishe chochote kwenye hizo LC200, ila bei nayo usibadilishe na kutaka kuifanya iwe kama luxury car. Iuze kwa bei za nyanya tutaelewa tu.
 
Ilikuja Brevis ikaondoka. Hata Crown iondoke tu [emoji3][emoji3][emoji3]

Ikaondoka ikaenda wapi wakati watu bado tunayo huko kitaa ..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mi naona Brevis iko confortable, stable during driving... Nimetokea kuielewa sana
 
Toyota prius unaijua?😁
Bado hujaelewa kabisa 😀 pole sana.

Nakufahamaisha tena.

BMW 116i M sport 2013, kuna rafiki yangu ameinununa kwa 18 million kutoka kwa rafiki yake, hio gari kauziwa kwa bei nzuri maana sokoni nahisi ni kama milioni 25+ Nimetizama IST Kupatana nikaona 15Million. Kutoka IST na hio BMW kuna tofauti ya 3 million. Kwanini usiongeze 3 million eti ununue IST ambayo ni featureless? Hio 1 series, ina feature inaitwa Start Stop System. Inafanya kazi hivi, Wakati unaendesha, unatumia combustion engine, ila unapoachia accelerator ukitizama gauge yako utaona kuwa inakwambia inatumia battery. Nini kinatokea sasa? Kinachotokea hapo ni kuwa ile combustion engine huwa inazimwa, na inayotumika mda huo huwa ni battery, hii battery ina power all essential components Kiasi kwamba kama hujatizama gauage yako utafikiri kuwa engine ipo on. Hio battery HAIENDESHI gari. Yaani ni kama vile wewe umezima engine, lakini ndani umewasha AC, unasikilizia radio au tuseme ni kama umeweka SWITCH ON. HAINA MOTOR ya umeme ya KUSUKUMA gari. Hapo nimekutajia Feature moja. Ninachoweza kukwambia kuwa ukiendesha hii gari na kama unapesa za kumiliki, hutokuja kutumia IST mpaka utakufa. Mikusanyiko ya vyuma ambayo designers hawaumizi ata ubongo.

Sasa wewe unadai kuwa eti hio hybrid na ndio ukaja na hoja ya kibata vuzi prius. Gari shape ovyo kabisa. Nissan leaf ina muonekano mzuri kuliko prius.
 
Ilikuja Brevis ikaondoka. Hata Crown iondoke tu [emoji3][emoji3][emoji3]

Ikaondoka ikaenda wapi wakati watu bado tunayo huko kitaa ..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mi naona Brevis iko confortable, stable during driving... Nimetokea kuielewa sana
 
1606246554130.png

Kwa mimi navyoielewa TOYOTA ni kampuni inayozalisha magari brands nyingi kuliko kampuni yoyote ile ya magari ikiwa ni ya pili kwa ukubwa Duniani nyuma ya VOLKSWAGEN. Ikiwa pia inazalisha magari katika brands za Hino, Lexus, Ranz na Daihatsu. Toyota pia anamiliki hisa katika makampuni makubwa mengine ya magari kama Subaru, Mazda na Suzuki.

Pili ni kampuni yenye viwanda karibia kila bara, na magari uzalishwa kulingana na mazingira na uhitaji wa eneo Kijiografia. Kuna magari toyota inazalisha hatujawahi hata kuyaona kwenye nchi zetu zaidi ya haya tuliyoyazoea na mengi yakiwa kutoka Japan na baadhi kutoka Europe.

SUVs
TOYOTA - SEQUOIA
1606247456310.png

TOYOTA - 4RUNNER
1606247582912.png

TOYOTA - HIGHLANDER HYBRID
1606247649814.png

TOYOTA - VENZA
1606247732493.png

1606247818817.png

1606247859113.png

1606247897357.png

1606247925234.png

1606247963723.png

Yaani hapo ukuti sijui NOAH, OPA, IPSUM, HILUX, CROWN, VITZ, IST, SIENTA, MARK X, VANGUARD, WILLS, WISH, PROBOX, ni vyuma tu. Tukubali TOYOTA kwenye hii game mbabe wake ni VW tu..
 
Ikaondoka ikaenda wapi wakati watu bado tunayo huko kitaa ..! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mi naona Brevis iko confortable, stable during driving... Nimetokea kuielewa sana
Namaanisha walistop kutoa models mpya mkuu daaah!! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.

Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.

Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Mkuu naongelea Toyota hizi tunazopishana nazo mitaani. Manake hata hizo Lexus hazipo bongo. Ni adimu kuliko hata hizo Benz.
 
Achia io ya 2015, bimmer lile 7 series la 2002 watu shingo zinataka kukatika izo crown model ya kati apo haziingii kabisa. Tatizo ndio kama ulivosema umaskini wetu tu na kutokubaliana na service ya haya magari.

Kama una pesa ya nini kununua Fuso la toyota LC200 😀 Yaani ukisikia hio bei sielewi ata kwanini mtu anaacha RR anakimbilia gari sura mbaya interior ya kizamani. Izo LC70 wanazozisifia dashboard tu tangu miaka 80 kama sio 90 afu unauziwa 145M, yaani tofauti yako na mtu alokuwa nayo ya miaka nyuma hamna zaidi ya mwaka wa kutengezwa tu.
Watakwambia nzuri offroad.
 
Toyota mnanunua gari za kisenge kisha mnafananisha na Benz. Check out how Lexus trims kama GS shit on those German money wasting machines in terms of comfort plus reliability.

Kitu Toyota hamfikii mjerumani ni performance wise kwa sababu amestick sana kwenye N/A Engine tofauti na mjerumani ambaye focus yake ni Luxury and perfomance zaidi so ana implement ma Turbochargers sana for high perfomance on roads.

Siku bongo mkiwa na uwezo wa kununua high end toyota brands kama AVALON ama Lexus ndio mtaelewa jinsi gani Toyota yupo serious.
Hata huko Ulaya na Marekani Toyota ameacha kupeleka hilo ngarangara la LC 200.

Hakuna mzungu mwenye akili timamu ananunua hilo dude.

LC 200 4.5L V8 anakupa 381hp.

Wakati benz gls 450 yenye 3L v6 inakupa 362hp na 4L yenye v8 anakupa 483hp.

Binadamu mwenye akili timamu hawezi nunua gari la hovyo hivyo.
 
Toyota wanatengeneza magari mabaya sana tena sana.

Sema ni umasikini wetu.

Yani bongo sahivi ukitembea na C Class ya 2015, watu wanageuza shingo. Tupo nyuma sana.
Duuuh, mkuu ume generalize moja Kwa moja. Shida ni Toyota ana gari aina nyingi na nyingine kabadili muundo wa body ila injini unakuta zimeshare gari 5.
 
Back
Top Bottom